Kilichotokea Mbulu ili aibu isimpate Magufuli kwanza asubuhi waendesha boda boda na wauza viatu waliitwa kituo cha polisi ofisi ya upelelezi kupewa zuio la kutokwenda uwanjani,pili kabla ya mkutano kuanza bulembo alitangaza kua hairuhusiwi kwa mtu yoyote kupiga picha na polisi walikua wengi kuliko wananchi sijui walitoka wapi,jamaa anaefahamika kwa jina Sanka hadi sasa hajulikani alipo baada ya kukamatwa akipiga picha,wa pili Faraji aliemwambia makufuli "push up ipo kwenye ilani akakamatwa pia