msukuma fekero JF-Expert Member Joined Aug 12, 2017 Posts 2,423 Reaction score 3,266 Apr 18, 2022 #21 Honey budger said: Sisi tunalia hatuna fursa wenye akili kubwa wanatumia fursa zetu kupiga hela wa tz tunalialia serikali haifanyi chochote jee wewe mtanzania wa kawaida umefanya nn Click to expand... Wewe mzima kweli kwa sera hizi na sheria hizi kila mtanganyika akitaka kutumia fursa serikali huoni inamgonga na nyundo ?
Honey budger said: Sisi tunalia hatuna fursa wenye akili kubwa wanatumia fursa zetu kupiga hela wa tz tunalialia serikali haifanyi chochote jee wewe mtanzania wa kawaida umefanya nn Click to expand... Wewe mzima kweli kwa sera hizi na sheria hizi kila mtanganyika akitaka kutumia fursa serikali huoni inamgonga na nyundo ?
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,249 Reaction score 13,539 Jun 6, 2022 #22 Je wanyama kama simba wanaruhusiwa kuwinda katika mbuga ya sharjah ? AU WANALISHWA? WANATUMIA MAJI gani kurutubsha miche na miti
Je wanyama kama simba wanaruhusiwa kuwinda katika mbuga ya sharjah ? AU WANALISHWA? WANATUMIA MAJI gani kurutubsha miche na miti
Sambinyakwe kitololo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2022 Posts 2,429 Reaction score 2,974 Dec 29, 2022 #23 Smart911 said: It hauna Ile terrain au rain forest au Ile savanna kama iliyopo Africa... Kwenye hako ka zoo Ile taste bado kabisa, Ile misele, patashika zile adventure bado kabisa... Click to expand... Pesa Ni kila kitu watanunua hata matope Africa wayaweke kule ili mkwame mpate taste ya ngorongoro
Smart911 said: It hauna Ile terrain au rain forest au Ile savanna kama iliyopo Africa... Kwenye hako ka zoo Ile taste bado kabisa, Ile misele, patashika zile adventure bado kabisa... Click to expand... Pesa Ni kila kitu watanunua hata matope Africa wayaweke kule ili mkwame mpate taste ya ngorongoro
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,678 Reaction score 12,399 Dec 29, 2022 #24 UAE jamaa ni big minds, usishangae kwenye hizo mbuga zao zikabeba watalii wengi kuliko hizi zetu