Aisee!Wakati taifa letu likiwa katika usingizi mzito usiokuwa na njozi, "Muungano wa Falme za Kiarabu" (UAE) walianzisha mpango wa mda mrefu wa kuwa na mbuga za kisasa mfano wa mbuga za Tanzania, na kisha kuzipa majina yaleyale (Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi) kisha kununua wanyama chungu nzima, wa kila aina kutoka huku huku Afrika na kuwaweka katika mbuga hizo katika mpango wao wa mda mrefu.
Mwezi 2 au 3 kama sikosei, walizindua mbuga hizo maridadi na wanazitangaza duniani kote, watalii wengi hivi sasa wanaelekea huko.
Mbuga hizo hazina tofauti na mbuga zetu, kile kinachopatikana Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi; ndani ya "Sharjah Safari Park" kinapatikana vilevile.
Waarabu hao wameenda mbali zaidi, wameanzisha mji mkongwe mfano wa Zanzibar; na unaitwa Zanzibar.
Mji huo hauna tofauti na mji wa Zanzibar, mitaa ni ileile, majina ya mitaa, mandhari ileile, lakini yote ndani ya Sharjah.
Sasa leo tumeshtuka kutoka katika usingizi huo, tunajaribu kuanzisha mpango wa kutangaza vivutio vyetu vya utalii kimataifa, lakini "it's too late!"
Hivi nani aliye turoga!?
Mbona KIFARU wao ana nundu badala ya pembe?Wakati taifa letu likiwa katika usingizi mzito usiokuwa na njozi, "Muungano wa Falme za Kiarabu" (UAE) walianzisha mpango wa mda mrefu wa kuwa na mbuga za kisasa mfano wa mbuga za Tanzania, na kisha kuzipa majina yaleyale (Serengeti,
Tuliuza sana wanyama wetu.Wakati taifa letu likiwa katika usingizi mzito usiokuwa na njozi, "Muungano wa Falme za Kiarabu" (UAE) walianzisha mpango wa mda mrefu wa kuwa na mbuga za kisasa mfano wa mbuga za Tanzania, na kisha kuzipa majina yaleyale (Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi) kisha kununua wanyama chungu nzima, wa kila aina kutoka huku huku Afrika na kuwaweka katika mbuga hizo katika mpango wao wa mda mrefu.
Mwezi 2 au 3 kama sikosei, walizindua mbuga hizo maridadi na wanazitangaza duniani kote, watalii wengi hivi sasa wanaelekea huko.
Mbuga hizo hazina tofauti na mbuga zetu, kile kinachopatikana Serengeti, Ngorongoro, Manyara, na Mikumi; ndani ya "Sharjah Safari Park" kinapatikana vilevile.
Waarabu hao wameenda mbali zaidi, wameanzisha mji mkongwe mfano wa Zanzibar; na unaitwa Zanzibar.
Mji huo hauna tofauti na mji wa Zanzibar, mitaa ni ileile, majina ya mitaa, mandhari ileile, lakini yote ndani ya Sharjah.
Sasa leo tumeshtuka kutoka katika usingizi huo, tunajaribu kuanzisha mpango wa kutangaza vivutio vyetu vya utalii kimataifa, lakini "it's too late!"
Hivi nani aliye turoga!?
Wazungu wanakuja huku bado sio Kwa waarabu wanajua kule ni fake tuHUU NI UPUMBAVU SANA HA HA HA...!,TENA UPUMBAVU KWELI KWELI...!,KILICHOBAKIA KWA SABABU WANATUMIA MAJINA YETU WATULIPE TU, SASA TUTAFANYA NINI?,UZEMBE UMEFANYWA PENGINE NA WASOMI. (Aibu hii) wamedivet mapato ya utalii.
jipe moyoWazungu wanakuja huku bado sio Kwa waarabu wanajua kule ni fake tu
Nature ni nature tu itabaki vile vile
Na wewe usiwe mpumbavu kuwauliza serikali eti nimeifanyia nn,, wewe mwenyewe umeifanyia nn??Sisi tunalia hatuna fursa wenye akili kubwa wanatumia fursa zetu kupiga hela wa tz tunalialia serikali haifanyi chochote jee wewe mtanzania wa kawaida umefanya nn
Umenena..Africa itabaki kua Africa, very unique...
It hauna Ile terrain au rain forest au Ile savanna kama iliyopo Africa...Umenena..
Ni ka Zoo flani ka kawaida tu.
Uwezi fananisha na serengeti ama ngorongoro hata kidogo..
Je jengo moja linaweza fanana na mji wa Zanzibar?
Haswaa mkuu.It hauna Ile terrain au rain forest au Ile savanna kama iliyopo Africa...
Kwenye hako ka zoo Ile taste bado kabisa, Ile misele, patashika zile adventure bado kabisa...