Jamani jamani muhimbili kwa kweli ili tatizo la mbu wengi na wakali sijui linatokea wapi , kuna mbu mpaka anafunua neti na kukung'ata ....dr magufuli please do something my president
Jamani jamani muhimbili kwa kweli ili tatizo la mbu wengi na wakali sijui linatokea wapi , kuna mbu mpaka anafunua neti na kukung'ata ....dr magufuli please do something my presidentView attachment 366762
Mbu wapo kila siku Muhimbili na hakuna mkakati maalumu wakuwangamiza utawaonea huruma manesi night shift pamoja na wagonjwa wanavyoshambuliwa.chonde serikali ingalieni swala hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.