MBU WA MUHIMBILI

mgonjwa

JF-Expert Member
Dec 2, 2013
514
223
Jamani jamani muhimbili kwa kweli ili tatizo la mbu wengi na wakali sijui linatokea wapi , kuna mbu mpaka anafunua neti na kukung'ata ....dr magufuli please do something my president
1468689091135.jpg
 
Mbu wa plate number 'D' ndio hatAri zaidi wapo sana wodi za KAribu na mochwari
 
Mbu wapo kila siku Muhimbili na hakuna mkakati maalumu wakuwangamiza utawaonea huruma manesi night shift pamoja na wagonjwa wanavyoshambuliwa.chonde serikali ingalieni swala hili.
 
Nimewahi sikia hao mbu ni biological control ya anopheles,

Kama wale sisimizi wa Mazimbu wa kucontrol nyoka
 
halafu wababe hao hata kama ukiwapiga bado wamo mpaka wakung'ate na halafu wanakuja na blue band ya kupaka mwili wako
 
Back
Top Bottom