[h=3]Je, ninaweza kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI [/h]utafiti nilioufanya na kushauriana na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kwamba mbu anasaidia kueneza HIV. mbu akimng'ata mwenye HIV halafu akaenda kumng'ata na kumtapikia mtu ambae hana HIV naye atakuwa ameambukizwa. EBO KAMA UNAWAZO TOFAUTI NA MM NIJUZE.
[h=1]Je, ninaweza kuambukizwa na Virusi vya UKIMWI na UKIMWI kwa kuumwa na mbu?[/h] Hapana, mbu na wadudu wengine hawawezi i kukuambukiza virusi vya UKIMWI kutokana na mfumo wa mii li yao. Virusi vya UKIMWI haviwezi kuishi kwenye mii li yao, kwa sababu siyo mazingira vinavyoyapenda. Virusi vya UKIMWI vinajilisha na kuzaliana katika chembechembe nyeupe za damu, lakini chembechembe za aina hii hazipo katika mwili wa mbu. Kwa hiyo, virusi vya UKIMWI vinakufa mara baada ya mbu kufyonza damu na aking‘ata mtu mwingine baadaye hakuna hatari ya kuambukizwa.
Thibitisho jingine la ukweli huu ni kwamba sisi sote tungekuwa tumebeba virusi vya UKIMWI kama mbu angelikuwa anaambukiza kwa sababu sisi sote tunaishi katika mazingira yenye mbu na karibu na watu wengine.
vp kuhusu mashine za kunyolea ktk saluni zetu hz za wanaume?
vp kuhusu mashine za kunyolea ktk saluni zetu hz za wanaume?
Virusi vya ukimwi haviwezi kukakaa kwenye kiwango cha joto kinachotumika kwenye mashine za kunyolea wala sio eti spirit inaua.
hivi mashine ya kunyolea na ukeni wapi kuna joto zaidi?
utafiti nilioufanya na kushauriana na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kwamba mbu anasaidia kueneza HIV. mbu akimng'ata mwenye HIV halafu akaenda kumng'ata na kumtapikia mtu ambae hana HIV naye atakuwa ameambukizwa. EBO KAMA UNAWAZO TOFAUTI NA MM NIJUZE.
Je ukitafuna bigijiii/bublishi ya mtu ambaye anatumia dozi ya ARV je anaeza pata maambukizi...?! Nijulisheni wadau