Mleta mada si mkweli,ametolea ufafanuzi wa kuteuliwa dr mvungi lakin kafyata kuzungumzia uwepo wa Prof Baregu kwenye hiyo hiyo tume,wewe hujui kosa la unafki wa Kafulila linaathari kubwa kwa Taifa kuliko hizo 19 billion? We unajua targe ya Kafulila haikuwa kuvuruga NCCR pekee,jifunzen kufanya tafiti rahisi kabla ya kukurupuka,epuka kufanya analysis ya hisia, we hujui even Chadema ilipeleka majina ya watu wa kuteuliwa kwenye hiyo tume,nenda kajifunze kuandika makala kwa shigongo then ndo je tukufanyie kitchen party ya mijadala ya kisiasa usije tuaibisha mbele ya safari!