Habari ya Mujini
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 2,518
- 1,046
Wewe ndiye utuombe radhi, taarifa ya habari ITV inaanza saa mbili sasa wewe umeiona wapi? Sasa ni saa moja na dakika 42 usuku. Mmechanganyikiwa na ukawa?
Mh! uongo mwengine hauna kichwa wala miguu.Nimesikitishwa na kauli ya mwenyekiti wa chadema usiku huu wakati nikitizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha ITV nilipomsikia Mbowe akisema eti UKAWA wamekuwa wakidai katiba mpya kwa miaka 25 sasa,,wanajamvi naomba mnisaidie ivi vyama vya Upinzani vina miaka 25 tangu kuanzishwa kwake?
Nimesikitishwa na kauli ya mwenyekiti wa chadema usiku huu wakati nikitizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha ITV nilipomsikia Mbowe akisema eti UKAWA wamekuwa wakidai katiba mpya kwa miaka 25 sasa,,wanajamvi naomba mnisaidie ivi vyama vya Upinzani vina miaka 25 tangu kuanzishwa kwake?
haa haa mkuu si unajua mainterahamwe wamechanganyikiwa? Hawana jipya ukawa songeni mbele, nyuma mwiko!Wewe ndiye utuombe radhi, taarifa ya habari ITV inaanza saa mbili sasa wewe umeiona wapi? Sasa ni saa moja na dakika 42 usuku. Mmechanganyikiwa na ukawa?
teh teh, mkuu inawezekana itv ya korido za lumumba!ITV ya wapi hiyo mkuu? Mana sasa hivi ni saa moja usiku na taarifa ya habari ni saa mbili kamili usiku! Napata wasi wasi umetunga mzee labda sema vizuri kilikuwa ni kipindi gani??
atakuwa ameangalia channel 10
channel 10 ni saa moja mkuu
Nimesikitishwa na kauli ya mwenyekiti wa chadema usiku huu wakati nikitizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku kupitia kituo cha ITV nilipomsikia Mbowe akisema eti UKAWA wamekuwa wakidai katiba mpya kwa miaka 25 sasa,,wanajamvi naomba mnisaidie ivi vyama vya Upinzani vina miaka 25 tangu kuanzishwa kwake?
Vyama vya siasa vina miaka zaidi ya 30 tangu kuanzishwa kwake 1992. Wewe indio uimbe radhi kwa waTZ.
Mmechanganyikuwa sana UKAWA na elimu yenu ya DIV 5.
Labda aliwekewa mkanda wa videoITV ya wapi hiyo mkuu? Mana sasa hivi ni saa moja usiku na taarifa ya habari ni saa mbili kamili usiku! Napata wasi wasi umetunga mzee labda sema vizuri kilikuwa ni kipindi gani??