Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,762
Huna akili?Uzi huu unafaa kujadiliwa na chekechea kwa mifano ulioitoa kichwani kwako badala ya kutoa room watu wajadili una comment wewe alafu watu wajadili comments zako zilizochoka
Huu uzi wa kulinganisha mavi na chakula ni bora hata ungemlinganisha Mwendakuzimu Jiwe na Kingwendu at least wanaelekeana.Nimeona hivi karibuni watu wakimlinganisha mbowe na lipumba, mengi yamezungumzwa lakini Mimi nitasaidia kuwajulisha na kuwaacha muamue nani bora.
Elimu zao tuweke pembeni tujikite zaidi kwenye siasa, maana kielimu kuwalingaisha hawa ni zaidi ya kufuru tu.
Mbowe sometimes hupigania wananchi wengi, lipumba huwa kigeugeu. Kwenye hili mbowe anapata credit kuliko lipumba
Mbowe ni mjisiriasiasa, lipumba sio mjasiriasiasa. Pesa kwanza alafu ndio siasa, lipumba yeye siasa kwanza alafu ndio pesa. Wote kwenye hili wapo sawa
Mbowe kwenye siasa hutangulia yeye kwanza alafu huburuza chama chote. Lipumba huwa na kundi dogo alafu ndio huburuza chama chote. Hii approach ndio ilipelekea kuitwa sultan.
Mbowe huwa na misimamo mikali ikiwa jambo hilo halihusu pesa, lipumba huwa na misimamo mikali ikiwa jambo hilo halihusu chama. Niliona sehemu wengi wakisema lipumba ni mwanasiasa mkongwe alafu maskini.
Mbowe ukipingana nae chamani utafukuzwa na kuitwa msaliti, Lipumba ni mvumilivu hata ukipingana nae anavumilia labda wewe mwenyewe uamaue kuondoka chamani.
Mbowe hana haiba/sura ya kushika dola, lipumba Amewahi kuwa na haiba/sura ya kushika dola. Ndio maana inakua rahisi mgeni kuingia chadema na kupata nafasi ya kugombea uraisi mfano Lowassa.
Mbowe amekijenga chama chake kwa misingi ya ukanda, lipumba kwa misingi mingine(sitataja ila mnajua). Hapa wote wapo sawa.
Kwa points hizi nilizoeleza kuna vitu vingi Lipumba amemzidi mbowe kisiasa, mbowe amemzidi lipumba sehemu moja tu ambayo ni kiuchumi.
View attachment 2543055View attachment 2543056
Machadema mengi ni majuhaHuu uzi wa kulinganisha mavi na chakula ni bora hata ungemlinganisha Mwendakuzimu Jiwe na Kingwendu at least wanaelekeana.
-Mwendawazimu/Mwendakuzimu yeye husema 'mimi sajaleta tetemeko' whilst Kingwendu husema 'helohelo' huku akitoa ulimi nje ila wanatofautiana kwa kuwa Kingwendu bado yuko hai na si muuaji wala hana wivu na private sector wakati Mwendakuzimu hutaka kila mtu anayefanikiwa kimaisha afe nchi nzima wabakie wanyonge wasiojielewa, at least hiyo comparison ya hao wawili ndiyo inaendana.
NB: Lipumba si mwanasiasa bali ni sellout aliyeiuza CUF lakini wajanja wakamchomoka na kumuacha solemba.
maccm mengi ni mapumbavuMachadema mengi ni majuha
Akili ziko nyumban kwenuHuna akili?
Kama unatafuta boro basi upewe wewe huo ubora. (Kama haujaelewa jua nimefanya makusudi, nina maana yangu).Nimeona hivi karibuni watu wakimlinganisha mbowe na lipumba, mengi yamezungumzwa lakini Mimi nitasaidia kuwajulisha na kuwaacha muamue nani bora.
Elimu zao tuweke pembeni tujikite zaidi kwenye siasa, maana kielimu kuwalingaisha hawa ni zaidi ya kufuru tu.
Mbowe sometimes hupigania wananchi wengi, lipumba huwa kigeugeu. Kwenye hili mbowe anapata credit kuliko lipumba
Mbowe ni mjisiriasiasa, lipumba sio mjasiriasiasa. Pesa kwanza alafu ndio siasa, lipumba yeye siasa kwanza alafu ndio pesa. Wote kwenye hili wapo sawa
Mbowe kwenye siasa hutangulia yeye kwanza alafu huburuza chama chote. Lipumba huwa na kundi dogo alafu ndio huburuza chama chote. Hii approach ndio ilipelekea kuitwa sultan.
Mbowe huwa na misimamo mikali ikiwa jambo hilo halihusu pesa, lipumba huwa na misimamo mikali ikiwa jambo hilo halihusu chama. Niliona sehemu wengi wakisema lipumba ni mwanasiasa mkongwe alafu maskini.
Mbowe ukipingana nae chamani utafukuzwa na kuitwa msaliti, Lipumba ni mvumilivu hata ukipingana nae anavumilia labda wewe mwenyewe uamaue kuondoka chamani.
Mbowe hana haiba/sura ya kushika dola, lipumba Amewahi kuwa na haiba/sura ya kushika dola. Ndio maana inakua rahisi mgeni kuingia chadema na kupata nafasi ya kugombea uraisi mfano Lowassa.
Mbowe amekijenga chama chake kwa misingi ya ukanda, lipumba kwa misingi mingine(sitataja ila mnajua). Hapa wote wapo sawa.
Kwa points hizi nilizoeleza kuna vitu vingi Lipumba amemzidi mbowe kisiasa, mbowe amemzidi lipumba sehemu moja tu ambayo ni kiuchumi.
View attachment 2543055View attachment 2543056
Nani juha tena?😁Machadema mengi ni majuha
Mtoto haluwa weweKama unatafuta boro basi upewe wewe huo ubora. (Kama haujaelewa jua nimefanya makusudi, nina maana yangu).
Fundi wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe ni zaidi.Nimeona hivi karibuni watu wakimlinganisha mbowe na lipumba, mengi yamezungumzwa lakini Mimi nitasaidia kuwajulisha na kuwaacha muamue nani bora.