Mbowe unatuachaje?

Mbowe unatuachaje?

Lawasa ndiye RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,mnapoteza muda wenu kwa kubishana

Wewe mama utakuwa unamiliki stoo ya bia. Akili yako ikirudi utajua ulichoongea ni ndoto ya mlevi, hao wateja wako
 
ulituambia kipindi kile ilibidi kubadilishia gia hewani. nimeelewa sasa kwa nini mlifanya hivyo.Ni kwa kuwa Dk. Slaa alikuwa kikwazo ikabidi mtumie gia ya rivas angani ili kumpoteza mtu kwanza.Mlifanikiwa ila na yeye keshawaona na anawalaani sasa na mwangwi umepaa sana. sasa mpango wa pili ni upi kiongozi? maana zile jeb zilituingia kiasi kwenye chembe.

Sasa wametugeuzia kibao eti sie ndio mafisadi. kweli? we ni kamanda. kwa ule mchezo wa mwanzo tulikuaminia. sasa uje na mkakati mwingine kamanda.Pamoja na ukweli kuwa kura zetu hazijatetereka sana tunataka tena kukusikia maana upande wa pili ni kama wamepata nguvu ghafla. unatuachaje?

Mnaachwa Yatima
 
Back
Top Bottom