Mbowe unatuachaje?

Mbowe unatuachaje?

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,252
ulituambia kipindi kile ilibidi kubadilishia gia hewani. nimeelewa sasa kwa nini mlifanya hivyo.Ni kwa kuwa Dk. Slaa alikuwa kikwazo ikabidi mtumie gia ya rivas angani ili kumpoteza mtu kwanza.Mlifanikiwa ila na yeye keshawaona na anawalaani sasa na mwangwi umepaa sana. sasa mpango wa pili ni upi kiongozi? maana zile jeb zilituingia kiasi kwenye chembe.

Sasa wametugeuzia kibao eti sie ndio mafisadi. kweli? we ni kamanda. kwa ule mchezo wa mwanzo tulikuaminia. sasa uje na mkakati mwingine kamanda.Pamoja na ukweli kuwa kura zetu hazijatetereka sana tunataka tena kukusikia maana upande wa pili ni kama wamepata nguvu ghafla. unatuachaje?
 
1. Mbowe alisema kuwa Dr Slaa yupo Likizo
2. Dr. Slaa amekana kuwa hakuwa Likizo

Credibility ya Mbowe imekwisha kwa kudanganya watu.
 
Mbona Dk hakutuambia kuwa alilala kwenye gari? Mbowe alikuwa sahihi mkuu.
 
ulituambia kipindi kile ilibidi kubadilishia gia hewani. Nimeelewa sasa kwa nini mlifanya hivyo. Ni kwa kuwa dk slaa alikuwa kikwazo ikabidi mtumie gia ya rivas angani ili kumpoteza mtu kwanza. Mlifanikiwa ila na yeye keshawaona na anawalaani sasa na mwangwi umepaa sana. Sasa mpango wa pili ni upi kiongozi? Maana zile jeb zilituingia kiasi kwenye chembe. Sasa wametugeuzia kibao eti sie ndio mafisadi. Kweli? We ni kamanda. Kwa ule mchezo wa mwanzo tulikuaminia. Sasa uje na mkakati mwingine kamanda. Pamoja na ukweli kuwa kura zetu hazijatetereka sana tunataka tena kukusikia maana upande wa pili ni kama wamepata nguvu ghafla. Unatuachaje?

kada wa ccm hujambo wapi magufuliiiiiiiiii, kwisha habari yake.
 
mh mbowe wana ukawa wanasubiri kauli yako. ya mbatia haitoshi. we ndio gurudumu la ukawa
 
11220858_1160649470628834_1633185057687035658_n.jpg

Siku moja baada ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dkt.Wilbroad Slaa kutangaza kuachana na Siasa, hii leo Vijana kutoka Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Jijini Mwanza wameandamana na kutangaza kuachana na Vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

HII IMEKAAJE?
 
1. Mbowe alisema kuwa Dr Slaa yupo Likizo
2. Dr. Slaa amekana kuwa hakuwa Likizo

Credibility ya Mbowe imekwisha kwa kudanganya watu.

Vilevile Dr Slaa amekana hatumiki ila kamuomba 6 na Mwakiembe waelezee Richmond.

Jiulize muda wote walikuwa wapi?

Kwanini hawamshitaki?

Mbona Bunge lilisema Lowasa hana hatia na bunge lilihitimisha suala la Rich lisijadiliwe tena?

Hebu tupe ufafanuzi muanzisha thread nyingi ktk kipindi hichi
 
11220858_1160649470628834_1633185057687035658_n.jpg

Siku moja baada ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dkt.Wilbroad Slaa kutangaza kuachana na Siasa, hii leo Vijana kutoka Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Jijini Mwanza wameandamana na kutangaza kuachana na Vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

HII IMEKAAJE?

hawa vijana kwa mujibu wa Dk slaa sio mtaji kwa kuwa ni bodaboda na wasio na ajira maalum. hawakujua kama wametukanwa
 
Dr.Slaa kamvua nguo mhuni mbowe na kujifanya kwake mjanja wa mjini
 
11220858_1160649470628834_1633185057687035658_n.jpg

Siku moja baada ya aliekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Dkt.Wilbroad Slaa kutangaza kuachana na Siasa, hii leo Vijana kutoka Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi Ukawa Jijini Mwanza wameandamana na kutangaza kuachana na Vyama vyao na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

HII IMEKAAJE?

Hakuna kitu kama hicho ndugu, mpambanaji wa kweli hawezi kuacha chama kwaajili ya mtu, mwenye akili timamu na mwenye kujua mabadiliko hata kaa arudishe kura yake ccm. labda hao ni wale wa kutengenezwa. tungeamini hilo mkuu wangehamia vyama vingine vya upinzani na sio huko ccm.
 
ngadi na marikiti si sawa kusema hivyo. tutimize kwanza ajenda yetu ya kuiondoa ccm madarakani ndio tujue nini kinafuata
 
Lawasa ndiye RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,mnapoteza muda wenu kwa kubishana
 
Back
Top Bottom