Mbowe umewaangusha watanzania

Mbaya zaidi vijana wa bavicha badala ya kumsaidia mawazo mapya, wamekalia matusi na vijembe
 
Aachie ngazi aone wenzie watampa mwelekeo wa nini cha kufanya. Yeye siasa zake zimeishia hapo
 
Waje na njia kama.....?
 
Mbowe kabanwa wapii? aseme alipobanwa? nawaonea huruma sana wanaofanya siasa za Tanzania as a real game....siku mkija kumjua mbowe mtaelewa siasa siyo real game kwa nchi za Africa na duniani kote
Mbona kataja?
 
Mbowe ni tapeli tu siku wakimgundua watakimbiza kwa bakora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…