Si walikua wanasema Kikwete ni Rais dhaifu ?
mkulu kakupega vyose viviNimeona nukuu ya Mwenyekiti wa Chadema,Taifa Freeman Mbowe,ambaye chama chake ndiyo chama kikuu cha Upinzani nchini,katika nukuu hiyo Mbowe analalamika kuwa 2017 wapinzani wamebanwa na hawajui wafanye nini?
Kauli hiyo ni ya kukata tamaa na kuonyesha kuwa kama mwenyekiti amefikia mwisho wa mikakati ya kupambana na chama dola
Kwamba sasa kitakachowasaidia ni kama CCM itaamua hisani yoyote ya uwepo wa upinzani nchini ndiyo Chadema na vyama vingine vinaweza kutimiza wajibu huo wa kikatiba
Naamini hili ni kosa la kiufundi kwa Mbowe na Chama chake warudi chini waje na njia mbdala
Wana wanachama,wafuasi na mashabiki wanaosubiri maelekezo yao kuwaambia hamjui mfanye nini ni sawa na kuwatukana
Uongozi ni kuonesha njia
Mwenyekit wetu kaishiwa mbinu bora hata kisandu ana mawazo mapya atawasaidiaMkuu haya ni matusi aisee
Kichaa Kisandu,really?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikwete aliitwa dhaifu kwa kuwaPamoja na mapungufu yake...moja ya archivement kubwa ya utawala wa kikwete ni kustawisha Democracy...
Yeye kustawisha Democracy hakumtolei sifa yake ya udhaifu..
Hoja yako ni mufilisi at the core!
[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️[emoji111]️
Hapo sasa ndo tuzidi kuwashangaa hawa wanasiasaSi walikua wanasema Kikwete ni Rais dhaifu ?
wanasiasa ni kama watoto wa kamboHapo sasa ndo tuzidi kuwashangaa hawa wanasiasa