Mpunilevel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 3,140
- 1,871
Jana malumbano yalikua makali baina yako Wewe KUB na Spika, namna ya wagombea Wenje na Masha wapite bila kupingwa.
Kumbuka Wanaletwa bungeni ili wapigiwe kura. No options
Wachawi si CCM,bali ni members wako ndani ya chama.
Hukuendesha Mchakato huru wa namna ya kuwapata candidates ndani ya chama Chako.
Hivyo wengi wao walikua na kinyongo kwa namna unavyowabuluza.
Chama ni Mali ya wanachama na si vinginevyo.
Hawana ubavu wa kukwambia live wakaona wakwambie kutumia sanduku la kura kwamba hawakubaliani na mwenendo wako, jirekebishe master.
Nashauri kaa nao, wasikilize Nini wanataka kwa afya njema ya chama Chako.
Vinginevyo ujue unakizamisha baharini chama Chako taratibu.
Utasema Magufuli na Majaliwa wanakuhujumu, si Kweli hata kidogo.
Kabla ya kulilia democracy, tenda democracy ndani ya chama Chako. Huo ndio uongozi.
Kuwabuluza wanachama kwa kisingizio kwamba CCM haitendi haki halina mahusiano na utawala bora ndani ya Chadema.
Yangu ni hayo Mkulu Mboe
Siku njema