Mbowe the great politician

Freeman asipokuwa makini anakwenda kuisha kisiasa kimoko. CCM ni mafia.
Kazi aliyoifanya tangu akiwa kijana inakwenda kuzikwa rasmi. Ila uzuri wa CCM hawamwachi hivi hivi watampa hela aongezee kwa mtaji.
 
Hekima si kuunda jambo hekima ni kufanya jambo kiendelee mbele hata kama wewe si sehemu yake.
 
Namkubali Mbowe sana ila hili la kukaa kimya sijamuelewa kabisa, nyuma huko alishawahi kususia mambo mengi sana kama tu vitu havipo sawa sasa anachofanya lissu ni kile kile kwanini asitoe support au anataka kuoneka mstaarabu kama mleta mada ulivyohoji
 
Ukiona unasifiwa na maFISIEMU jua wamekulambisha asali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…