Mbowe, Sweden sio mbali, nenda kampigie magoti Dkt. Slaa

Chama hatari kwa CCM ni ACT . Kwa sababu ACT wana nafasi kubwa kukamata sehemu ya nchi. Zanzibar. Chadema ni kelele nyingi. Kigundo kigumu, CCM walishakin'Goa. Lowassa na Sumaye. Lissu yupo mbaaliiii. Kelele tu yeye na wakina Mange Kigogo nk
Kama Chadema imekosa dira inakuwaje inaogopwa kwenye Uchaguzi huru na wa haki? Hamtaki ushindi wa KISHINDO ulio wa haki?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbowe kuna baadhi ya laana huwa zinafutika bila shaka hata hii ya Dr Slaa anaweza kukusamehe. Kibuli hakilipi, kuwa mdogo, kuwa mnyonge , jishushe muombe msamaha.

Ukifika mwambie maneno haya "Mzee mwenzangu huu mguu wako, nimetoka Dar es salaam kuja kukuomba msamaha. Nilikuita majina ya ajabu ajabu kama Dr Mihogo n.k, niko chini ya miguu yako. Najua hela ilipita katikati yetu na yote uliyoyajenga kwa zaidi ya miaka 20 kwa jasho na damu mimi nimeyabomoa kwa kasi ya ajabu ndani ya miaka 4. Kwa niaba ya chama naomba tusamehe"

Ni wakati sasa wa kuona mlipokosea na kuomba msamaha ili kurudia ufalme wenu
Eti kumpigia magoti dk. wa mihogo! Mhogo wa Jang'ombe au Karatu?
 
Uchaguzi huru na wa haki utakuonyesha ukweli wa mambo kuhusu chama pendwa Nchini. Yeyote yule mwenye ufinyu wa akili anaona Chadema ni kelele lakini ukweli ni kwamba wanazipigania KERO mbali mbali zinawasumbua Watanzania kwa miaka chungu nzima.

Chama hatari kwa CCM ni ACT . Kwa sababu ACT wana nafasi kubwa kukamata sehemu ya nchi. Zanzibar. Chadema ni kelele nyingi. Kigundo kigumu, CCM walishakin'Goa. Lowassa na Sumaye. Lissu yupo mbaaliiii. Kelele tu yeye na wakina Mange Kigogo nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tazama kule mbali my frnd. Usingalie mjini tu. Tazama wale wasielewa mambo. Ambao ni wengi kuliko mnaojielewa. Watu wakiona Umeme na majengo ya hospital maji kidogo, Elimu ya bure. Kwa kampeni ya siku 30 amwezi kumdoa CCM. Na wakisia ndege,, reli,, bwawa la umeme. Zuluma za makenikia, Na hii sasa CORONA na Mungu. Hasa mashekh na walokole. Tumekwisha. Na Radio na TV atuna ndio basi tena
Uchaguzi huru na wa haki utakuonyesha ukweli wa mambo kuhusu chama pendwa Nchini. Yeyote yule mwenye ufinyu wa akili anaona Chadema ni kelele lakini ukweli ni kwamba wanazipigania KERO mbali mbali zinawasumbua Watanzania kwa miaka chungu nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂😂 you must be joking and you don’t know the reality about the sufferings of millions of Tanzanians.

Tazama kule mbali my frnd. Usingalie mjini tu. Tazama wale wasielewa mambo. Ambao ni wengi kuliko mnaojielewa. Watu wakiona Umeme na majengo ya hospital maji kidogo, Elimu ya bure. Kwa kampeni ya siku 30 amwezi kumdoa CCM. Na wakisia ndege,, reli,, bwawa la umeme. Zuluma za makenikia, Na hii sasa CORONA na Mungu. Hasa mashekh na walokole. Tumekwisha. Na Radio na TV atuna ndio basi tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo kwenu Dr Slaa ni kiongozi bora ?!. Alipokuwa Cdm alitukanwa na kudhalilishwa na watawala kwa kubambikiwa vyesi, kuvunjwa mkono n. k. Leo mnamuona nabii ?!

Usichokijua ni kuwa Ccm haitaki kuwepo na chama chochote makini cha upinzani . Itafanya hila za aina yoyote kama haya unayoona yanayiendelea ndani ya Cdm .

Odhis *
Tulimtafutia visa na kumsema kama political strategy kumdhofisha, ukweli tulimuheshimu na kumuunga Mkono wakati wote! Ndiyo maana tulimuamini na kumpa siri zote zilizokuwa zinaimaliza Nchi.
 
Jitazame hali yako na ulivyopoteza matumaini!
Wewe ni kalimanzila? Unajiona una nafuu ya maisha kwa kujifariji na matumaini hewa siyo? Unanifahamu binafsi au ndo kiburi cha ujana kinakusumbua?
 
Leo kwenu Dr Slaa ni kiongozi bora ?!. Alipokuwa Cdm alitukanwa na kudhalilishwa na watawala kwa kubambikiwa vyesi, kuvunjwa mkono n. k. Leo mnamuona nabii ?!

Usichokijua ni kuwa Ccm haitaki kuwepo na chama chochote makini cha upinzani . Itafanya hila za aina yoyote kama haya unayoona yanayiendelea ndani ya Cdm .

Odhis *
Kuna wengi tu ni viongozi bora wanakosea tu platforms za kuonyeshea uwezo wao. kuwa katika vyama ambavyo havina sera zenye mashiko. Ndio maana binafsi nimesikitika kuanguka kwa Prof Jay. Miaka miatano kafanya siasa safi na kazi kubwa jimboni kwake.
 
Back
Top Bottom