Kumbe washirirka wa gamba weye zzzzzk actNimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu. Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Hivi maandamano si haki ya raia ya kikatiba?
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba
watoto wa Mbowe wote wako Marekani ni raia wa marekani kwa kuzaliwa Siku wakiwa mstari wa mbele kwenye maandamano na mimi nitaandamana
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu. Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Ccm imekwisha, inachofanya ni kutumia vyombo vya usalama kudhibiti upinzani.
Nimemsikia akiongea ITV kuwa ameitwa kwa DCI Manumba baada ya kutangaza maandamano nchi nzima na kusisitiza maandamano yako pale pale acha hata damu zimwagike japo CP Chagonja ametangaza kuwathibiti watakaofanya maandamano hayo.
Huyu Mbowe naona ana mihemko ya kuchaguliwa baada ya kubeba vibabu toka maeneo mbalimbali vimchukulie fomu.
Ni vema akakae chini atafakari nafasi aliyojitafutia ajue wapi aboreshe na siyo kutafutia waliomchagua matatizo.
Hivi vyombo vya usalama viache kutumiwa kisiasa, waache ukibaraka kwa ccm na wasifikiri ccm itaongoza hii nchi milele.
Acha kuwalisha watu ujinga ww kunguru mwoga duniani kote watu huandamana kupinga mambo flan flan tanzania hata mia bora za waandamanaji hawamo ni wazee wa ndio mzee