Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 50,086
- 39,553
Wanaukumbi.
Leo bungeni Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) amesema kuwa yeye ndiyo mbunge pekee aliyepata kura nyingi jimboni kwake ameenda mbali zaidi na kusema angetakiwa kuwa Waziri Mkuu.
Kama kupata kura nyingi ndiyo kigezo cha kuwa kiongozi basi hayo yangeanzia ndani ya chama chake Chadema wampe uongozi wa chama kabla ya kutamani kuwa Waziri Mkuu kitu ambacho akiwezekani kwa kuwa Chadema hawakushinda kwenye uchaguzi mkuu..
Maneno ya Sugu ni ya msingi siyo ya kuyapuuza ni wakati sasa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kumpisha Sugu kwenye nafasi ya Uenyekiti pamoja na kumpa uongozi wa kuwa Mkuu kambi ya upinzani Bungeni.