maganjwa vip mwal.Kengera bado yupoTangu mwaka elfu mbili kumi na tano baada ya uchaguzi ndo nikajua akili mbowe maana ccm ilibidi wabadili sheria na namna ya kupambana na ukawa hali ilikuwa mbaya
kwanza kuopiga marufuku mikutano ya siasa mpaka 2020
pili sheria ya mitandaoni ili kujua wanaoshambulia ccm ni akina nani na kushughulikiwa
tatu bunge lisiwe live na watu wasione bungeni kunaendelea nini
Hatua zote hizi zimechukuliwa ili kupunguza nguvu ya upinzani na aliyesababisha yote hayo ni mbowe kwa kumtema dr. wibrod slaa na kumchukua lowasa.
jambo hilo lilionekana la kipuuzi mwanzoni lakini matokeo yake ilikuja kuwa balaa kwa bi mkubwa ilibidii atafute namna ya kujiokoa maana hali yake ilikuwa mbaya sana.
Tuache unafiki tuweke ushabiki pembeni kama sheria hizi zisingetungwa na mambo kuendelea kama zamani leo tunaongelea nini kwa ccm.
Ndo mama namuona mbowe kama mtu aliweza kucheza gemu za siasa kama pele mwaka elfu mbili kumi natano
dah Mungu amjalie uzee mwema,namkumbuka sana enzi hizo miaka ya 90aisee yupo ni mzee sana sasa ivi
calculation ya siasa haipo kama hesabu 3x3=33 kisiasa ok ngoja nikukubalie kwa nini ccm na serikali yake waliamua kubadili sheria mbali mbali walihofu nini maana usisahau nguvu ya chama cha siasa ni viti bungeni naomba unijibu hapoAcha ujinga, Mbowe alizingua sana kwa Lowassa.
2015 Baada ya kupigwa chini, Lowassa hakuwa na pakukimbilia, alimchukua wa nini?
hauoni alivyomuabisha?
Lowassa ni FRAUD KUBWA SANA.
ok nimefurahi kusikia hilo.turudi kwenye siasa 2020 Mbowe tuvusheacha kabisa alikuwa fire sana
tume huru ya uchaguzi itapatikana,na hata isipopatikana tutakuwa na watu huru wa kupiga kura2020 hakuna jipya mimi naona giza tu kwa kuwa hatuna tume huru ya uchaguzi
calculation ya siasa haipo kama hesabu 3x3=33 kisiasa ok ngoja nikukubalie kwa nini ccm na serikali yake waliamua kubadili sheria mbali mbali walihofu nini maana usisahau nguvu ya chama cha siasa ni viti bungeni naomba unijibu hapo
ccm ya 92 sio ccm ya leo na mwaka elfu mbili kumi na tano equation iliyotumika ilikuwa ngumu sana na iliwaumiza ccm iliwaumiza sawsawaKinachofanywa na serikali ni maelekezo binafsi ya JIWE sababu JIWE hakubaliani na utawala wa kidemocrasia, ndio hurka yake.
serikali ya CCM ndio iliruhusu vyama vingi mwaka 1992 wakati wananchi walivikataa kwenye kura ya maoni. sasa unawezaje sema eti serikali ya CCM haitaki vyama vingi.
hiyo ni political equation sio mchezo kama unataka kuelewa iko ivi watu wanaenda porini kutafuta ikulu ili kuondoa utawala sasa kama unaona mtu fulani ni potential sana na anaweza kutekeleza lengo la kuchua dola kuna shida gani ya kuwa naye pamoja kama anakubali ndiyo iliyofanyika. hata kenya wakati uhuru anagombea urais BBc na vyombo vya magharibi walipiga sana kelele kwamba ana kesi the hague lakini wakenya wakaziba masikio yao leo si rais wa kenya tena mwanademokrasia mzuri sana.
Achana kabisa na profesa mboweAcha ujinga, Mbowe alizingua sana kwa Lowassa.
2015 Baada ya kupigwa chini, Lowassa hakuwa na pakukimbilia, alimchukua wa nini?
hauoni alivyomuabisha?
Lowassa ni FRAUD KUBWA SANA.
Kwa hiyo wale wanaosema Lowassa alivutwa kutoka CCM na Lipumba ni wapotoshaji? Kumbe Mbowe mwenyewe ndo aliyekodi mamluki toka CCM kuipa nguvu CDM.Tangu mwaka elfu mbili kumi na tano baada ya uchaguzi ndo nikajua akili mbowe maana ccm ilibidi wabadili sheria na namna ya kupambana na ukawa hali ilikuwa mbaya
kwanza kuopiga marufuku mikutano ya siasa mpaka 2020
pili sheria ya mitandaoni ili kujua wanaoshambulia ccm ni akina nani na kushughulikiwa
tatu bunge lisiwe live na watu wasione bungeni kunaendelea nini
Hatua zote hizi zimechukuliwa ili kupunguza nguvu ya upinzani na aliyesababisha yote hayo ni mbowe kwa kumtema dr. wibrod slaa na kumchukua lowasa.
jambo hilo lilionekana la kipuuzi mwanzoni lakini matokeo yake ilikuja kuwa balaa kwa bi mkubwa ilibidii atafute namna ya kujiokoa maana hali yake ilikuwa mbaya sana.
Tuache unafiki tuweke ushabiki pembeni kama sheria hizi zisingetungwa na mambo kuendelea kama zamani leo tunaongelea nini kwa ccm.
Ndo mama namuona mbowe kama mtu aliweza kucheza gemu za siasa kama pele mwaka elfu mbili kumi natano
Yap Kuna watu wa IQ ndogo hawatakuelewaTangu mwaka elfu mbili kumi na tano baada ya uchaguzi ndo nikajua akili mbowe maana ccm ilibidi wabadili sheria na namna ya kupambana na ukawa hali ilikuwa mbaya