Mbowe ni baba bora

Fortunatus Buyobe

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2011
Posts
463
Reaction score
1,131

Chanzo: GPL
 
Hahahahahaaaaaa! Eti anajua kuwajibika kifamilia ilhali anamtenda kila siku mkewe Lilian pale anapoamua kungonoka na akina Joyce Mukya na Esther Matiko
 
kumbe ukiwa na wanawake rundo wengine ndani ya chama chako na kumsaliti mke wako wa ndoa unakuwa baba bora sijawahi kuona.
 
Ha ha ha ha ha! hivi watoto wa hawa watu waliitwa majina gani halafu huyu anaitwa baba bora.
 
Hahahahahaaaaaa! Eti anajua kuwajibika kifamilia ilhali anamtenda kila siku mkewe Lilian pale anapoamua kungonoka na akina Joyce Mukya na Esther Matiko

Mleta thread mshipa wa aibu utakuwa umekata.
 
Hahahahahaaaaaa! Eti anajua kuwajibika kifamilia ilhali anamtenda kila siku mkewe Lilian pale anapoamua kungonoka na akina Joyce Mukya na Esther Matiko
Mkuu yaonekana ni mtalaam wa kufuatilia mambo ya wanaume wenzako!! angalia usije ukavishwa khanga moko!!
 
MTU mhuni yule hata kama angekuwa baba yangu asingepata heshima ya kumuita baba
 
Mkuu yaonekana ni mtalaam wa kufuatilia mambo ya wanaume wenzako!! angalia usije ukavishwa khanga moko!!

Una maana MBOWE anavisha wanaume wenzake kangamoko, alishakuvisha nini?
 
jamanii mwenye hizo picha atupie huku basi......
 
kijana acha ushabiki wa kipuuzi mbowe akajisafishe na kashfa zake za ngono na zile tuhuma za mwigulu nnchema kwamba huwa anawagonga viti maalumu
 
na alipoenda kutanua dubai na yule mbunge wa viti maalumu je? Au nacho ni kigezo cha kuwa mume bora. Hawa viongoz walio weng ni wachepukaji tu ila akiwa mbele ya kamela lazima avunge
 
kumbe ukiwa na wanawake rundo wengine ndani ya chama chako na kumsaliti mke wako wa ndoa unakuwa baba bora sijawahi kuona.

Kwa tafsiri ya kibongo, yeah...

Ndio maana ukifanya kazi Halmashauri/serikalini miaka kumi hujaiba kama wenzako unaitiwa kikao cha ukoo wenu wakusute, eti umezubaa.

Dunia ikielekea magharibi wabongo tunaelekea mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…