Mbowe na TANROADS, mita 30 kutoka barabara ya Machame mna maana gani?

Wanapanua ile barabara kubwa ya kwenda mlimani... Ni kweli ni nyembamba ila kuongeza mita 30 ni kukomoa tu
Na bado naona mbona nyumba nyingi zilikuwa tu mbali aisee ka wameongeza zaidi ya pale ni majanga na kukomoana aisee. Kwanza kuvunjia wananchi nyumba kwanini huwa hawaweki plan ya miaka hata mia moja. Aisee nawapa pole wahanga wote
 
Wangeweza kuongeza barabara na gari mbili kubwa (malori) zikapishana bila shida pasipo kubomoa nyumba ya mtu. Hizo mita 30 naona kuna maelekezo tu yametolewa kukomoa watu..
 
Awamu hii full kukomoana yani loh ni Tanzania pekee serikali huvunjia wananchi wake nyumba bila kuwapa sehemu nyingine mbadala.
 
Mleta mada Ameleta taarifa isiyokamilika na kufanya wwtu wajadili kitu wasishokijua !

Barabara ile ya lami imejengwa mwaka 1958.

Sheria mpya ya Barabara Kuu mita 30 imekuja mwaka 2009 na mwakyembe .
Kwanza utaanzia wapi kuvunijia watu pasipo kulipa ?
Labda kama walishapiga picha kabla ,,,

Hata hivyo ni ngumu kuacha kuwalipa kwa sababu barabara ilijengwa kabla ya uhuru na sheria zote zmekuja baada ya uhuru
 
Awamu hii full kukomoana yani loh ni Tanzania pekee serikali huvunjia wananchi wake nyumba bila kuwapa sehemu nyingine mbadala.
Na wewe utakubali uvunjiwe nyumba Machame alafu upewe plot Maili sita au Boma?? Uache asili yako ukakae porini?
 
Ndo maana na sema kwa nature ya kule kupanua hzo 30 mbona kubwa mno maana ile ya 22 haikuzikuta nyumba nyingi hivo na nature ya kule kumekuwa ka ardhi ya asili ndo maana watu hawauzi hovyo, kule mtu kukotoa na kukupeleka kwingine ni adhabu hata Mimi nisingekubali maana ardhi yenyewe ni mdogo.
 
Ngoja tuone hii sinema itaishia wapi..
 
Na hakika hili halimsumbui mbunge na mwananchi yeyote ! Kumvunjia mtu barabara ya Machame bila kumlipa sio mchezo haitakaa itokee ,

Labda uniambiemwaka 1958 walipiga picha ya wale waliokuwa wamejenga karibu na barabara wakati inajengwa,na mkoloni .
 
Kwa jiografia ya barabara ya machame haitakuwa na mahitaji ya zaidi y a njia mbili miaka mia ijayo !

Labda kama kuna barabara ya kwenda Kenya itapitia kule ! Inginevyo ni kukomoana
 
Umenena mkuu, kama barabara haitunufaishi yanini kumega mita 30 zote hizo?
 
Kuna ajenda mbaya si bure maana kule vtu haviko holela holela ni vimepangwa. Awamu hii tutashuhudia mengi kwa nature ya kule
Mkuu there's something must smell fishy,

haya ni ya kuwaumiza wengi
 
Kinachosikitisha zaidi ....kinachosikitisha zaidi....kinachosikitisha zaidi yaani habari nzima kinachosikitisha cha msingi maendeleo tu
 
Hilo pekee ndiyo uliloliona kwenye thread nzima?
 
Back
Top Bottom