Mbowe na siasa


Kama baba yako ndio anayejua kujenga kuliko mbowe basi tutashukuru kama atagombea uwenyekiti.
Je unakumbuka wakati wakongomano la cuf na cdm juu ya mpasuko wa kambi ya upinzani,je ni nani aliyekuwa anaonekana ana busara na nani aliyekuwa anaonekana ana papara?
 

Mbona hamumpi ushauri mwenyekiti wenu dhaifu
 
wantaka kamwenyekiti kalegevu lagevu kanakogeuza chama cha familia na kasikojua lipi zito na lipi jepesi.
 
tumekusoma tumekuelewa mbinu zako chafu dhidi ya kamanda mbowe,,,! hija yako haikubaliki sio tu kwa wanachadema bali hata kwa wote wazalendo na wapenda nchi....!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…