Ivi ssi watanganyika tunapata nni ndani ya huu muungano?Akifungua kikao cha Baraza Kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema jijini Dar es Salaam jana, Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe amesema wananchi watajadili Katiba kadiri wanavyotaka na siyo kama anavyotaka Rais Jakaya Kikwete na kwamba hata suala la Muungano litajadiliwa kwa vile ni haki yao.
Source: Tanzania Daima.
Kwani hata akisema bungeni nyinyi magamba mnakataa bora aseme kwa wananchiKwanini hakusema hilo bungeni?
Ivi ssi watanganyika tunapata nni ndani ya huu muungano?
Kwanini hakusema hilo bungeni?
ndo tujadili. Tuache? Tuvunje? Kazi ni kwetu
Ivi ssi watanganyika tunapata nni ndani ya huu muungano?
Ivi ssi watanganyika tunapata nni ndani ya huu muungano?
kupata aina ya muungano itakayopendwa na wote haitawezekana.