Mbowe,Mnyika,Lowasa na makamanda wote.

Mbowe,Mnyika,Lowasa na makamanda wote.

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Posts
4,253
Reaction score
1,475
Naomba kuwakumbusha na hili lifanyuke kila mwisho wa mkutano wa Ukawa popote Tanzania.

Je upigaji kura fomu zitakuwaje ?

Je kutakuwa na majina ya vyama vyote au Ukawa.Hasa upande wa Urais .

Watu wa vijijini wanadanganywa na ccm kuwa ktk kupiga kura watiki kwenye vyama vyote vinavyounda ukawa.wanawachanganya hima hima fafanueni itakavyokuwa.

Nasema kwa sababu si kila mtanzania anaweza kuelewa kwa muda mfupi.Tumieni Redio,Tv na mitandao ya kijamii na sample za fomu zitawanywe ili kuwafanya watu wote wawe makini na namna ya upigaji kura.

Naomba walio karibu na kiongozi yeyote wa Ukawa amkumbushe hili.
Huku mtaani wanatembea kwenye nyumba za wanaUkawa na kuwadanganya.Tunaomba Team Infantry 4U movement mtaa kwa mtaa elimisheni watu wazee kwa vijana hasa vijijini.

Asanteni.
 
Kama wanashaurika wajue tume haihusiki kuelimisha watu kuhusu ukawa na namna ya kuwapigia kura ukawa na kuna wengine hawajui wanaweza kupiga tiki vyama vyote vya ukawa
 
Pamoja ila nadhani vijana ni waelewa hivyo watumie muda huu kuwapa elimu wale wazee vijjini ambao wanarubuniwa, wawambie upande wa urais ni Lowasa na chama ni Chadema katika fomu vinakaribiana,katika ubunge madiwani ambapo ukawa wamesimmaisha wagombea wawili wawe makini sana kwani mfano ukonga wanaweza tick Chadema na Cuf
 
Safi sana..... Ila nafkiri jina la Lowassa tu na zile mvi ni utambulisho tosha kabisa
 
Back
Top Bottom