Kati ya watu waliofurahi na mimi ni mmoja wao, congrats again Chadema it is a good move as we expected, kitendo hicho kimezidi kuongeza imani kwa wapiga kura wenu.
Inagawa CCM watabeza lakini impact yake ni kubwa sana itaonekana muda si mrefu Chadema imejiongezea point. Next move ya Chadema ni kupeleka mashambulizi bungeni bila kusahau kuendeleza Operation Sangara part II.