johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Labda atupie CV yake tujiridhisheFalse news, siamini hili, huyu mwenyekiti anatafuta ushujaa ambao haupo!
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia
Source Jambo TV
Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf na uigp akamkatalia?
Nimekaa pale πΌ
Wenda kweli ila hata kama chama kitaendelea kukuhitaji ila sio mda mhafaka kwako kiongozi kuwa mwenyekiti mpendwa , kaa chini mkuu aya yakusema unarudi mzigoni kama utaona chama chako kinaelekea psipo ,vipi kama kesho usiwe mzima ? Maana na chama kitakua kimeishia pale mkuu( sikuombei mabaya mkuu, vyema ukaona vitukuu na vitukuu ,ni mfano tu natoa)Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia
Source Jambo TV
Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf na uigp akamkatalia?
Nimekaa pale πΌ
Shujaa ni Mkapa na Nyerere upande wa Marais wakristo..Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia
Source Jambo TV
Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf na uigp akamkatalia?
Nimekaa pale πΌ
Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema Rais wa Awamu ya 5 Shujaa Magufuli alimuahidi Kila aina ya Cheo Lakini alimkatalia
Source Jambo TV
Lucas Mwashambwa muulize aliahidiwa hadi ucdf na uigp akamkatalia?
Nimekaa pale πΌ
ππππMagufuli hakua na huo muda na vilaza