TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,564
nape na paulo makonda wameshindwa kuzuia mafuriko kwa mkono atawaze huyo dj mtafuna ruzuku
ivi mbowe yeye ameweza kukumea ufisadi CDM kwa matumizi mabaya ya luzuku na michango ya wanachama i.e chama kupanga ofisi ya makao makuu kwa miaka zaidi ya 20
Wakuu mimi nina mawazo tofauti kidogo,
Inawezekana Lowassa wa sasa ni tofauti na wa miaka ileee na inawezekana pia na yeye leo ufisadi unamkera kama wewe unavyokukera na ameshagundua kuwa ndio utakaomfanya akose urais lakini anashindwa aanzeje kuukemea.
Tumpe muda labda kuna siku atafunguka na kuweka yote wazi kila mtu atabaki kushangaa kumbe tumdhaniye ndiye siye.
Kwa hili Mbowe yupo sahihi
Kwa hili Mbowe yupo sahihi
Tatizo lake kubwa ni ukimya wake ambao Mbowe ameuita ububu, ububu wake ndio uliowapa mwanya maadui zake kummaliza,Unat nn zaidi ya kujitetea kwake na miaka yote saba kakakimya ili aje atudangaje miezi michache ilio baki pia atuambie chanzo cha utajiri wake na kwann anawaunga mafisadi wenzie mko Kama kabadilika unajua karamaji wewe au umevamia siasa?
Safari ya matumaini du!. Hatutaki kuishi kwa matumaini tunataka uharisia. Ati anachukia umaskini atagawa fedha kwa Cheyo?.
Kweli EL ni bubu na dhaifu. Amekuwa mhudhuriaju mzuri wa bunge. Wakati upinzani wanaibua ufisadi bungeni kama escrow Mhe. Huyu anayetaka nchi hakusikika kukemea wala nn. Mana yake alikuwa analinda maslah ya chama (wezi) na kushindwa kutetea maslah pana ya taifa.
Hii mana yake hana uzalendo na ni mmoja kati ya wapifaji wa raslimali za watanzania. Kwa hili EL na yeyote awaye toka CCM hana sifa kuwa Rais wetu.