HOJA YANGU
Member
- Jul 31, 2011
- 47
- 20
Mh. Mbowe ahoji watendaji ambao wanaenda kusimamia mikakati ya dharura kuondoa mgawo wa umeme iliyotolewa na Mh. Ngeleja ilihahi watendaji haohao wametufikisha hapa tulipo na tunawasiwasi nao.
<br />mbowe hana mpya huyo. chama chake kimmshinda
Huyu jamaa juzi Arusha kwenye mkutano wao, anawaambia mateka wake Pro-Cdm, wasiokuwa na fikra.Alitaka wapewe CDM wasimamie? Bange bana.
<br />Huyu jamaa juzi Arusha kwenye mkutano wao, anawambia mateka wake wasiokuwa na fikra.<br />
Mwezi ujao wataandaa Maandamano kwenda kuvamia Ofisi za Manispaa ya Arusha, kuna kiongozi hapo
<br />
Huyu jamaa juzi Arusha kwenye mkutano wao, anawaambia mateka wake Pro-Cdm, wasiokuwa na fikra.
Mwezi ujao wataandaa Maandamano kwenda kuvamia Ofisi za Manispaa ya Arusha, kuna kiongozi hapo
Si mmezoea kufanya uporaji kwenye maandamano yenu yasiokuwa na tija kwa taifa, vibaka wakubwa nyieWe kiazi kweli ndo matatizo yenu na wabunge wenu mnashndwa kuelewa kutokana na ukilaza wenu majuha wakubwa nyie!!!
Sasa hapa wa bange nani wewe ama mbowe kwauelewa wako inavyo onekana umtu wa bange ama una akili za kizee ambazo umezi rithi kwa wa zee wako wenye akili za kitoto acha ushambaAlitaka wapewe CDM wasimamie? Bange bana.
CDM-Kata Bana, unaniwekea picha ya Magamba ya nini mimi?Wee una akili sana.
<img src="http://www.theeastafrican.co.ke/image/view/-/972942/medRes/184073/-/maxw/600/-/ajj17l/-/supporters.jpg" border="0" alt="" /
<img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=12424&d=1281357299" border="0" alt=
well said.CDM-Kata Bana, unaniwekea picha ya Magamba ya nini mimi?
Nadhani umjui Ritz vizuri unadandia pipe kwa mbele kijana.
Kwangu mimi CCM na CDM wote ni takataka
CDM-Kata Bana, unaniwekea picha ya Magamba ya nini mimi?
Nadhani umjui Ritz vizuri unadandia pipe kwa mbele kijana.
Kwangu mimi CCM na CDM wote ni takataka