Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,201
- 40,113
Wanaukumbi habari.
CHADEMA, waanze kwanza kupigania Demokrasia ndani ya Chama chao ndiyo waje kwenye Taifa.
Mbowe kaanza kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wakati huo Jakaya Kikwete, akiwa Waziri wa Mambo ya nje wakati wa Utawala wa Benjamin Mkapa, mpaka leo Jakaya ni Rais Mstaafu, lakini Mbowe, bado Mwenyekiti wao anawalazimisha wabunge kuvaa Makaratasi midomoni wakiwa bungeni yeye akiwa Dar es Salaam kwenye biashara zake.
Mbowe nakushari fanya kama alichofanya Waziri Mkuu wa Uingereza, baada ya kuona wananchi hawamuelewi.
Waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron, ametangaza atajiuzulu, baada ya kushindwa kuwashawishi raia wengi wa Uingereza, kusalia katika muungano wa Ulaya.
Mbowe muda sasa upo kwenye uongozi wa CHADEMA kama Mwenyekiti, lakini CHADEMA wameshindwa kuchukua dola jaribu kuwaachia wengine waongoze upinzani au umekuwa Mwenyekiti wa maisha.