Sijui kwanini watanzania wanafall kwa wahuni!! Jitu DJ eti linaingia katika siasa... Nashauri Katiba mpya izungumzie usomi wa mwanasiasa, mana hii kupata vichwa vilivyokuwa vikipotosha maadili kisha saivi vinataka serikali ni khatari kweli kwa taifa hili. Yaani ichi chama is like a joke;
Mtu katoka upadre kaingia katika kinyanyang'anizi cha urais, tena kwa masharti kwamba alipwe kama anavolipwa mbunge na CDM, (jitu lipo kwa ajili ya tumbo lake lakini watu wanadanganyika, kweli nyie wadanganyika)
Mtu alikuwa DJ, akipiga miziki, akipotosha watu, akiwaingiza watu katika machafu leo hii anakuwa mwenyekiti wa chama, Mbowe, duh!! Taifa hili ni janga!
Mtu alikua msanii, kashazoea bangi na lugha za matusi, leo anaingia bungeni!!! Mtihani si mdogo.... Mwanasiasa ni Zitto kabwe tu, walobakia ni wahuni tu! Haya jamani, kuleni SUMU vizuri miifa msije kulalamika