waingereza wanamsemo wao, "two wrong don't make it right". Hauwezi kumsafisha
Mbowe kwa kutaja wahalifu wengine k
ambao hawajachukuliwa hatua. Au siwezi nikaanza kuvunja sheria kwasababu najua kuna mtu alivunja sheria na hakuchukuliwa hatua. Cha msingi hapa athibitishe hakuvunja sheria.
Akitokea mtu akudhuru alafu ajitete mahakamani mbona Malima hajachukuliwa hatua utakubali aachiwe huru?