Mbowe kuongoza mashambulizi kesho pale viwanja vya nmc

Mkutano upo, kama unataka kujivua gamba karibu pale NMC.

Msako unaendelea


Hakika watakuwa wengi kwn hata lile gari la matangazo ilipopita,nikamshuhudia balozi wa nyumba kumi kw chama cha magamba akiapa ya kwmb ni lazima kesho arudishe card ya magamba na kupokea ya CDM.

Na hata hivyo alivuta hisia nyingi kwa baadhi ya raia wengi waliokuwa pale alipo.

Magamba habari yao kwishaaaaaaaaa!!
 
Sasa ni wakati wa CDM kusambaa Tanzania nzima....Arusha wameshapata uamsho,Kwanini kila mara Ar,mwanza n.k.Hivi CDM wapo tayari kabisa kushika dola?
 
ninauhakika kesho kutakuwa na bonge la show ya watakaohama ccm na kuhamia CDM
 
makamanda woe mliyopo arusha
na sehemu za jirani
mnakaribishwa kesho kwenye
mkutano wa hadhara utakao
fanyika kwenye viwanja vya nmc ,
mapambano hayo yataendeshwa
na kamanda wa anga mh
freeman mbowe pamoja na
kamanda wa m4c kamanda lema
mbunge aliyopo likizo arusha
mjini....karibuni bila kukosa.

kwa namna hii chadema sasa kinaboa kila siku nmc wakati kuna sehemu huku watu wanahitaji kuamshwa toka usingizini.hawa elewi kabisa nchi yetu ina endaje pamoja na bunge kuwa hapa dodoma....uchaguzi uliopita magamba wamepata 92% ya mkoa mzima na hakuna hata mbunge mmoja wa cdm....arusha,mwanza na maeneo mengine cdm ilipo jiimarisha panatakiwa kukumbusha tu kidogo sio kama nguvu inavyo elekezwa sasa.....mkutano wa nmc mi sii ungi mkono.mna boa sana.
 
Back
Top Bottom