Mbowe kulitikisa jiji la Mwanza kesho

Idimulwa

Platinum Member
Joined
May 27, 2011
Posts
6,226
Reaction score
5,339
Ni kwenye uwanja wa Magomeni kata ya Kirumba akiwa na Mnyika pamoja na Tundu Lissu.

Karibuni sana.
 
Thnx , weka muda maana sijui muda ili nitie maguu.
 
Ni ujio wa ukombozi haswa,I can feel the Rivival. Wawe makini na matata maana mtata sana gamba Yule.
 
Ndiyo mkuu, kuanzia saa nane mchana karibu sana

mbona mm nmeskia kesho mbowe atakuwa ushirombo kwa kahigi? Hebu tuwekane sawa maana sahv niko pande za nyehunge naelekea sengerema then ushirombo kumwait kamanda wa anga...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…