PreGE2025 Tetesi: Mbowe kuibukia Chaumma Leo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hamkumtaka awe kiongozi wenu, bado hamtaki atumie uhuru wake wa kikatiba kuchagua jukwaa alipendalo na kufanya siasa, nyie ni waroho sana, wabinafsi wa kutisha..
 
Atapewa cheo gani sasa, maana cheo cha hadhi yake ni Rungwe aondoke hapo
 
Ila Mbowe atakuwa amejivua nguo kabisa!
Anyways... ubatili ni mwingi!
Chadema asili yake ni Mtei na Akina Mbowe ni chama chao kwa asili hata kama kwenye uchaguzi alishindwa na Lissu hawezi kuhama atabaki anaangalia TAASISI yao inaendaje, hata Mtei hawezi kuruhusu hilo litokee. Baada ya wanzilishi wote kufariki na kubaki Mtei tu mwingine ni Mbowe aliyebaki kama icon na legacy kwa sasa.
 
Legacy vs money! Ngoja tuangalie hadi mwisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…