Mbowe kugombea ubunge Moshi Mjini

Ben, hivi wewe peke yako ndio unajiona una haki na Chadema, mwenzako kauliza ni kiasi cha kumjibu kweli au siyo kweli.

huyu jamaa @Ben Saanane kila jambo lihusulo CHADEMA anajifanya alijua kiundani na kulitetea hata kama ni la kipuuzi.
 
Kwani mbowe ni mungu? Mbona taarifa zake zikielezwa mnakuwa mbogo hivyo?

Sio MUNGU lakini mbona mkiambiwa nanyi Nyerere alitumia ulaghai katika kujenga muungano mnakuja juu wote mpaka mkuu mwenyewe na kusema anatukanwa. Hivi yeye ni MUNGU Kwamba hasemwi alipokosea au kufanya ulaghai?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
huyu jamaa @Ben Saanane kila jambo lihusulo CHADEMA anajifanya alijua kiundani na kulitetea hata kama ni la kipuuzi.

Kumbe ni la kipuuzi? Acha atetee maana huwezi ona jambo la kipuuzi ukaliacha tuu. Tatizo liko kwako wewe & co ambao mnapinga yale ya maana na kuendekeza za kipuuzi.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wewe unastahili kweli kuwa mjumbe wa Bunge la katiba kwani sifa zote unazo
 

Huyo sangima wako anayekupa tetesi namshauri aendelee kukuchuna pesa hadi utakapotia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…