Umeanza kwa matusi na kejeli. Hapa ndio umejikosoa na kujidahihisha, haya turudi kwenye mada..mbowe atagombea moshi mjini? Japhary michael naye anajiandaa kwa upatu wa mzee ndesa? Mbowe ameharibu hai?
WANABODI, wasaalam nimetonywa na rafiki yangu wa karibu sana wa ndani kwamba mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ana nia ya kugombea jimbo la moshi mjini 2015 kwa kile kinachodaiwa mzee ndesamburo kustaafu siasa na kuachana nayo mosi wakati huo huo kuna tetesi kwamba meya wake JAFARI ndiye anayepigiwa chapuo na mzee ndesambaru kurithi mikoba yake, kitendo hichi kimeleta msuguano wa ndani kwa ndani kati ya mzee ndesamburo na mbowe kwasababu nyumbani kwake hai ameharibu.nataka ukweli wa hili.tujadili
[TABLE="class: arc90_altrows-Blue, width: 100%"]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]KILIMANJARO
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]WILAYA YA HAI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="bgcolor: #B3D5E6, colspan: 4"]HAI[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%, bgcolor: #B3D5E6"]Candidate[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Political Party[/TD]
[TD="width: 20%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Number of Votes[/TD]
[TD="width: 15%, bgcolor: #B3D5E6, align: center"]Percentage Votes[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] MBOWE FREEMAN AIKAEL [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]CHADEMA[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]28,585[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 51.63[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] FUYA GODWIN KIMBITA [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]CCM[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]23,349[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 42.17[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] HAWA HENRY KIHOGO [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]UDP[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]258[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.47[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] KISSIMBO IBRAHIM PETRO [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"]TLP[/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]135[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 0.24[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 30%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]SPOILT VOTES[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"]3,043[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 5.5 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"]TOTALS[/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: right"] 55,370[/TD]
[TD="width: 15%, align: right"] 100 [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 10%"] [/TD]
[TD="width: 20%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 5%, align: center"] [/TD]
[TD="width: 15%, align: center"] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
WANABODI, wasaalam nimetonywa na rafiki yangu wa karibu sana wa ndani kwamba mwenyekiti wa chadema freeman mbowe ana nia ya kugombea jimbo la moshi mjini 2015 kwa kile kinachodaiwa mzee ndesamburo kustaafu siasa na kuachana nayo mosi wakati huo huo kuna tetesi kwamba meya wake JAFARI ndiye anayepigiwa chapuo na mzee ndesambaru kurithi mikoba yake, kitendo hichi kimeleta msuguano wa ndani kwa ndani kati ya mzee ndesamburo na mbowe kwasababu nyumbani kwake hai ameharibu.nataka ukweli wa hili.tujadili
Kwanini hatupendi kukosolewa? This is the free world, you cant hide your sin for long. Tutakujua na tutayajua madhambi yako na tutayasema kama hivi
Unamkana BAVICHA mwenzio, au ID yake imekuwa hacked, maana huyu mmaranguoriginal. ni mmoja wa viwavi wanaoshinda humu wakitetea ujinga wa CHADEMA kama wewe.
Mwenyekiti wa Chama kinachojiita cha ukombozi kushinda kwa kura chache namna hii inaonyesha wakazi wengi wa jimbo la Hai. Haya ni matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010.
Wewe unambebea mikoba lema arusha, hujui ya ben dar. Elimishwa uelimikeKwanza Ben Saanane si mbeba begi la Mbowe, pili mleta mada kasema kaambiwa tu na hana uhakika
nakupongeza kwa kukubali ukweli ulio wazi kuwa mbowe hakubaliki kwao.Nabii hakubaliki kwake hata kwa Yesu ilikuwa hivyo!
kamanda kawaulize vijana waliotengeneza vikundi vikundi vidogo vidogo vya miche pesa zao walizohadiwa zimekwenda wapi ndio tetesi zenyewe
mwenyekiti wa chama kinachojiita cha ukombozi kushinda kwa kura chache namna hii inaonyesha wakazi wengi wa jimbo la hai ambapo ni nyumbani kwao hawana imani naye. Haya ni matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2010.
Duh vipaji hii vya umbea si vya kubeza kabisa
Ben, hivi wewe peke yako ndio unajiona una haki na Chadema, mwenzako kauliza ni kiasi cha kumjibu kweli au siyo kweli.Duh vipaji hii vya umbea si vya kubeza kabisa