Acha kupotosha uma.Baada ya kifo cha JPM mama alishika hatamu hapo ndo chadema wakaibuka na hoja ya katiba mpya wakaanza kuhamasisha watu waandamane wadai katiba mpya.
Mimi ningekua Mr hai ningewaambia wanangu wanyamaze kwa kipindi Cha mwaka ivi tuanze na njia ya amani then ikishindkana tunakuja kwa kasi ya 5g1. Ulijuaje mkeo alimpigia nani kura!??? (Au ulikuwa sehemu ya wavuruga-uchaguzi!???)
2. Ugeni wa Bi Mkubwa na madai ya Katiba Mpya vinahusianaje!???
3. Imagine wewe ndiye ungekuwa Mr Hai, ungependekeza hivi kama usemavyo sasa!???
Political science yako wala hata ^high-hole-d^ wota. Did you know that mtaji wa siasa ni pamoja na kustrategize kuwa kwenye habari 24/7!??? Ndiyo maana huoni kwamba Chama cha Demoghasia & Maombolezo kimejitahidi kuendelea kuwa chama cha matukio, hata kama yawe ya kutengeneza!???Mimi ningekua Mr hai ningewaambia wanangu wanyamaze kwa kipindi Cha mwaka ivi tuanze na njia ya amani then ikishindkana tunakuja kwa kasi ya 5g
Yes I declare interest Mimi nilikua chadema, uchaguzi wa 2015 niligombana na watu wangu wa karibu because nilikua naipenda chadema na nilitaka ishinde, 2020 niligombana na mke wangu because of chadema, tuliongozana wote kwenda kupiga kura tukakubaliana tuichague chadema lkn alivoingia kupiga kura akawapa ccm ikiwa vita ndani although alitumia haki yake ya kikatiba
Tukirudi kwenye kesi ya mbowe naunga mkono mbowe kupewa kesi hata kama ni ya kutengeneza kwa sababu kuu moja
Baada ya kifo cha JPM mama alishika hatamu hapo ndo chadema wakaibuka na hoja ya katiba mpya wakaanza kuhamasisha watu waandamane wadai katiba mpya. Wakati huo mama ni mgeni kwenye majukumu yake anatakiwa aseti mipango kuongoza nchi mbowe yupo mbea na kina Mdude nyangali ambae akitoka gerezani kwa mkono wa mama wakaanza kumkejeli mama Eti kiwembe kilichomnyolea mtangulizi wake kitamnyoa mama hivi kweli jamani
Ilikua ni lazima mbowe akae ndani kuhamisha akili za chadema kutoka katiba mpya mpka kuhangaikia kumtoa mwenyekiti na kwa hili washauri wa mama wamefanikiwa kama ni suala la katiba mpya litakuja kufanyika lakini ni hapo baadae baada ya mama kufanikiwa kutengeneza anayotaka kuyaacha kama legacy yake kwenye nchi hii
Najua chadema watanitukana saana maana ndo kawaida yao karibuni
Nahis mbowe alijua ninikitamkuta akaamua kutengeneza mazingira ionekane nikudai katiba mpya ndo kumesababishwa akamatwe. Kwahaya tulio yaona kwasabaya niwazi Mambo yamebadilika sana,
ule wembe uliomnyoa sabaya utamnyoa mbowe
Yaani Babu/wazee wetu wangekua na akili kama zako Africa ingekua koloni mpaka Leo.Serikali ya maana usikiliza wananchi wanataka nn?kama inshu sensitive kura za maoni huamua.Chifela weweMimi ningekua Mr hai ningewaambia wanangu wanyamaze kwa kipindi Cha mwaka ivi tuanze na njia ya amani then ikishindkana tunakuja kwa kasi ya 5g