Tetesi: Mbowe kufanya kata funua CHADEMA. Apanga Kuwaita wabunge na wafuasi wa Lissu

Huyu mwehu sijui kavimbiwa maharagwe ya jalala gani walahi, hizo propaganda za hovyo na kitoto hadithianeni huko huko lumumba sio huku kwa Wenye uelewa.
 
Nitakuwa wa mwisho kuamini kama anacho kifanya Lissu hakina baraka za Mbowe
 
Jikite kwenye hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiongozi unaamka asubuhi yote hii badala ya kusali na kutafakari utaisaidiaje nchi Kwa nafasi uliyobahatika kupewa unaamkia majungu kuhusu Mbowe?
Hakika laana hii ndio inaitafuna nchi, hivyo madhara yake ndio hayo ya unavyo simamia ni kufeli tuu. Tutasikia Stars chali Kwa Cranes, Simba katwangwa na Vita, ukija huku Serengeti boys watatiaibisha pamoja na uenyeji yaani mapigo ya aibu tuu kutokana na kuwa na viongozi wenye dhamana GUNDU.
Kiongozi muongo,mzandiki,mchawi na sifa zote mbaya ni chukizo mbele za Mungu na mapigo yake ni kuanguka Kwa kila mfanyalo.
JITAFAKARI JS

Wewe unasali na kutafakari?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom