Lowasa hana pesa wala hajampa mtu pesa yupo upinzani kutokana na vioja alivyofanyiwa na kikwete hahitaji kujilinda na pesa kwa sababu yy akiwa chadema hana haja na cheo ujumbe unamtosha hivyo hakuna mtu wa kumsumbua, hiyo propaganda ya pesa za lowasa ilitengenezwa na akina February na membe wakaisambaza kila kona wale Wajanja walijua ni uzushi wakapotezea lakini wajinga hadi leo wakekariri pasipo kujua kuwa wenzao walitengeneza huo Uzushi walilipwa pesa nyingi sana kueneza kila kona.Mbowe akili zake zitarudi sawa sawa pale Fedha za Lowasa zitakapo kwisha.. Lowasa ni kirusi upinzani... Ila Fedha zake ndio zinamlinda
Wenzako waliotunga huo uzushi wakaueneza walipiga pesa lakini ww umekariri hadi leo !! Lugumi ni mwanasiasa? Lowasa na lugumi wapi na wapi? Hivi lugumi akigombea Urais wataenda na majina Mfukoni Dodoma? Tambua kuwa lowasa ana watu na kitendo alichofanyiwa na kikwete hakukuwa na haja abaki CCM kwani tayari alikuwa kaumizwa moyoni.DJ alishabadili gia angani tena.!!
Kwa hali hii ya ubadilishaji gia mwaka 2020 Lugumi wanaweza kuwa mgombea urais wa Chadema na sisi wild beast tukaamlishwa na DJ tumsafishe kama tulivyolazimishwa kumsafisha Lowasa.
Hii mada ni ya Lowassa?Mkuu acha unazi wa ccm kumtukana lowassa ni kuwatukana ukawa wote, ni sawa mkeo anadhalilishwa ni familia nzima mnadhalilika
Inabidi wabongo tukue kifikra Professor ni mbobezi tu katka taaluma fulan sio kwamba kila kitu anakijuaMbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Ni ngumu sana kwa division zero kumuelewa na kumuelezea profesaHoja Hapo siyo elimu ya MBOWE, hoja ni mambo anayoyafanya Profesa yanaaksi elimu yake?, kwa upande wangu Mimi sioni kama Mbowe amemkosea adabu Prof.,Lipumba tunatakiwa kumtreat hivyo kwani anayoyafanya anastahiri. Mimi niombe tu maprof wamuite Prof mwenzao wamwambie ukweli prof mwenzao ili kutunza credibility ya taaluma hiyo ambayo inashuka kwa kasi kubwa sana kwenye nchi yetu. Taaluma ya ngazi ya uprof inapoteza legitimacy kwasababu ya mambo machache yanayofanywa na maprof wachache.
Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Sana, Irrelevant traitor and Useless Stooge au Kwa Neno Clear zaidi a Bag of shit!Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
Kwa fikra zako bado unadhani lipumba ni irrelevant?
Lugumi ni nani?DJ alishabadili gia angani tena.!!
Kwa hali hii ya ubadilishaji gia mwaka 2020 Lugumi wanaweza kuwa mgombea urais wa Chadema na sisi wild beast tukaamlishwa na DJ tumsafishe kama tulivyolazimishwa kumsafisha Lowasa.
Binafsi kama mtanzania haja nikosea heshimaSiyo mbowe . Lipumba kawakosea heshima watanzania
Jibu zuri wengine hata hatuhusu wafanye yao tufanye yetu.Binafsi kama mtanzania haja nikosea heshima
....ni baada ya kuuvunjia heshima kwanza uprofesa na pili muungano wa ukawa , tatu cuf, nne chadema na tano wanaupinzani, sita wanamageuzi, saba wananchi kwa ujumla na dunia yote kwa kile alichokifanya katika siasa za Tanzania, so kaama hakuweza kujiheshimu nani atamuheshimu....Ukweli ni muhimu ukasemwa...
Sijamsikia hata mara moja Prof Lipumba akimnanga Mbowe hadharani pamoja na mikanganyiko yote ya kisiasa iliyosababishwa na Mbowe.
Leo hiinimemsikia Mbowe akimtukana Lipumba na kumuita "IRRELEVANT" hili ni tusi kwa lipumba ambaye ni muanzilishi mwenza wa UKAWA ORIGINAL .
BADO MBATIA SASA!
Yaani kumkataa fisadi ni kuuvunjia heshima upinzani?....ni baada ya kuuvunjia heshima kwanza uprofesa na pili muungano wa ukawa , tatu cuf, nne chadema na tano wanaupinzani, sita wanamageuzi, saba wananchi kwa ujumla na dunia yote kwa kile alichokifanya katika siasa za Tanzania, so kaama hakuweza kujiheshimu nani atamuheshimu....