Mbowe kamkosea heshima Lipumba

Kumbe neno "irrelevant" ni tusi?!
Hata mimi nashangaa! Nafikiri ni kutojua maana ya neno lenyewe vizuri! Tatizo la nchi sasa hivi karibia kila neno linaonekana ni tusi na uchochezi. Maneno kama BWEGE, KI.LA.ZA. MJINGA na sasa hata hilo Irrelevant ambalo ni kinyume cha Relevant yanaonekana ni tusi kwa baadhi ya watu na yanaweza kukupeleka mahakamani hatimaye kifungo au faini ya Mil 7
 

Labda unasahau kwamba Lipumba alikuwa ndo Mwenyekiti wa CUF, alikuwa ndo kiongozi mkuu wa chama kama hayo unayosema ni ya kweli kwanini hakuita Baraza kuu nakueleza anayoyatenda Katibu wake? alikuwa na nyenzo zote at his disposal kujiuzuru haikuwa option muafaka kulimaliza hilo analodai kufanyiwa, anauhakika gani kama sasa hatakuwa sidelined tena? kwa sababu hali aliyo iacha ndo hiyo hiyo iliyopo mpaka sasa. Huyu alisaliti chama katika wakati mgumu sana alikuwa na lengo mahususi, kwa kuwa hilo lengo halikutimia sasa ndo anarudi tena kutimiza lengo lake.
 
Profesa amesoma sana mpaka akili zimemwagika zote amebaki na cover tu la uprofesa
 
“ Genuine, unequivocal truth renders all egoistic behavior irrelevant.."
 
lipumba in irrelevant kwenye dili lao...MTU mwema in irrelevant kwenye genge la mafisadi.
 
tatizo lako tayari una msimamo kwa hiyo huwezi elewa kilicho kinyume chake. hayo niliyoyaandika Seif anakiri na Lipumba anakiri. sijaelewa kwa nini unabisha mpaka kauli za wahusika wenyewe. Lipumba amerudi kutokana na kuombwa na wanachana. ndo maana Seif hawezi jaribu hata kidogo kuitisha mkutano wa baraza kuu maana anajua fika itakula kwake. Kujiuzulu kwa Lipumba ni ustaarabu tu kwa sababu wamefanya kazi na Seif kwa mudamrefu. nao ni binaadamu pia. elewa hilo.
 
Kweli mkuu hujamsikia Prof. akisema Maalim na Mbowe walikuwa wanamzunguka, wanapanga mipango ya UKAWA bila kumshirikisha?
Walijua nilazima atawasariti ndo mana wakamla kisogo. Alafu wao ndo walikuwa wagombea
 
Mbowe ambaye hajamaliza hata darasa la saba anamtukana professor?? Kweli nchi imekosa adabu hii
Ogapa sana kuitwa professor ukiwa kitaa.hilonijina baya kuliko[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji736]
 
umeumia? hivi unakumbuka dhihaka na matusi mlivyo mtusi Lowasa na bado mnaendelea mbona hukujitokeza kusema?
ni bora uloge kuliko kuwa mnafiki,
 
Propesa kajivua nguo wenyewe na kutembembea barabarani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…