Kwa Mbowe, Fedha kwanza!
Ameshanusa fursa!
Mbowe kumchinjilia baharini Lissu ili apige mpunga mrefu wa CCM wala haoni hatari.
Mtu mwingine hatari hapa ni mzee Mtei, huenda huyu Mzee keshafuatwa na watu wa system ili atumie influnce yake kumkata Lissu, na huenda huyo mzee ambaye ni baba mkwe wake Mbowe wako pamoja na Mbowe katika nia yao ya kumkata Lissu!