Mbowe hana pa kuponea kama ushahidi wa video utatumika

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Kwa uzoefu na kuamini technology ni kuwa huwa haidanganyi na hiki ndicho wakili kibatala alikiogopa Jana huu ndio ukweli mkuu hapa duniani.

Ushahidi ulioletwa jana wa Jamhuri dhidi ya Mbowe kupanga kufanya so called SUICIDE PROTEST huku akihanikiza watu kubambana hata kama watu 200 watakufa damu zao ndio mbegu huku akijua kujitolea mhanga ni kinyume na sheria pia huku akijua maandamano yale hayakuwa na kibali.

Japo mahakama jana ilihairisha ushahidi huo kwa kukosa devices za kuunga hapa ant Mbowe wakae mkao wa shangwe maana jamaa jera ataizoea
 
Hivi nyinyi mafarauni gani mnaotakia mabaya ya dhuluma na uzandiki mna sayari na uwezo kukumbilia na familia zenu!?
Kweli Akwilina aliuawa na kina Mbowe!? Hizi zarau zina mwisho.Endeleeni kuharibu umoja na ustawi wa taifa letu hakika malipo ni hapa hapa duniani.
 
Polisi wa kwao, magereza ya kwao jeshi la kwao mahakama ya kwao - wanaweza kufanya lolote.
 
Mimi sijaiona hiyo video,kama unataka tuanze kujudge its better ukaweka video kuliko tujudge maneno yako wakati the so called video ipo,WEKA HAPA JUKWAANI FOR ALL TO SEE.
 
Kwa uzoefu na kuamini technology ni kuwa huwa haidanganyi na hiki ndicho wakili kibatala alikiogopa Jana huu ndio ukweli mkuu hapa duniani.

Ushahidi ulioletwa jana wa jamhuri dhidi ya mbowe kupanga kufanya so called SUICIDE PROTEST huku akihanikiza watu kubambana hata kama watu 200 watakufa damu zao ndio mbegu huku akijua kujitolea mhanga ni kinyume na sheria pia huku akijua maandamano yale hayakuwa na kibali.

Japo mahakama jana ilihailisha ushahidi huo kwa kukosa devices za kuunga hapa ant mbowe wakae mkao wa shangwe maana jamaa jera ataizoea
Ukiwa bwege ni bwege tu nakushaur waambie Lumumba wakusomeshe sheria japo certificate use na mwanga hata kidogo, nikiwa msomi wa sheria napenda kukusaidia japo kiduchu kuwa hio video unayodai kuwa kibatala aliogopa kuonyeshwa nikwamba alichokifanya kibatala ni legal technicality hii kwa wanasheria wenzangu wanajua maana take na inapotokea hio technicality mahakama lazima ifanye maamuzi(ruling) juu ya hio technicality swala hio technicality kufanikiwa au kutofanikiwa ni maamuz ya mahakama sasa wewe poyoyo unapokuja na thread yako ooh Mara mbowe haponi Mara azoee jela nakuona mpumbavu was sheria unaesukumwa na mihemko kujadili swala nyeti LA kisheria ndoo maana nikasema wambie Lumumba wakusomeshe japi chet utoe hats tongotongo vinginevyo utaendelea kupiga makofi kila kitu atakachosema mwenyekit wako kama kipindi kile cha kikokotoo mwenyekit wenu Mara ya kwanza aliposema kikokotoo kipo saws mkashangilia alipobadili uelekeo kwa kusema hakifai mkashangilia tena sasa huo kama sio upumbavu ni nini.
 
Kwa uzoefu na kuamini technology ni kuwa huwa haidanganyi na hiki ndicho wakili kibatala alikiogopa Jana huu ndio ukweli mkuu hapa duniani.

Ushahidi ulioletwa jana wa Jamhuri dhidi ya Mbowe kupanga kufanya so called SUICIDE PROTEST huku akihanikiza watu kubambana hata kama watu 200 watakufa damu zao ndio mbegu huku akijua kujitolea mhanga ni kinyume na sheria pia huku akijua maandamano yale hayakuwa na kibali.

Japo mahakama jana ilihailisha ushahidi huo kwa kukosa devices za kuunga hapa ant Mbowe wakae mkao wa shangwe maana jamaa jera ataizoea
Chidhi kabitha wew
 
Mnapigwa tobo bao mnashangaa
 
Mpumbavu
 
Ilihailisha! - iliahi........
Jera! - jel..
Hata hivyo video na maneno vinaweza vikachanganywa kwa wakati tofauti.
 
Kwa uzoefu na kuamini technology ni kuwa huwa haidanganyi na hiki ndicho wakili kibatala alikiogopa Jana huu ndio ukweli mkuu hapa duniani.

Ushahidi ulioletwa jana wa Jamhuri dhidi ya Mbowe kupanga kufanya so called SUICIDE PROTEST huku akihanikiza watu kubambana hata kama watu 200 watakufa damu zao ndio mbegu huku akijua kujitolea mhanga ni kinyume na sheria pia huku akijua maandamano yale hayakuwa na kibali.

Japo mahakama jana ilihailisha ushahidi huo kwa kukosa devices za kuunga hapa ant Mbowe wakae mkao wa shangwe maana jamaa jera ataizoea
Post yangu imesepeshwa kwa ajili yako.........:mad:
 
Ukiwa bwege ni bwege tu nakushaur waambie Lumumba wakusomeshe sheria japo certificate use na mwanga hata kidogo, nikiwa msomi wa sheria napenda kukusaidia japo kiduchu kuwa hio video unayodai kuwa kibatala aliogopa kuonyeshwa nikwamba alichokifanya kibatala ni legal technicality hii kwa wanasheria wenzangu wanajua maana take na inapotokea hio technicality mahakama lazima ifanye maamuzi(ruling) juu ya hio technicality swala hio technicality kufanikiwa au kutofanikiwa ni maamuz ya mahakama sasa wewe poyoyo unapokuja na thread yako ooh Mara mbowe haponi Mara azoee jela nakuona mpumbavu was sheria unaesukumwa na mihemko kujadili swala nyeti LA kisheria ndoo maana nikasema wambie Lumumba wakusomeshe japi chet utoe hats tongotongo vinginevyo utaendelea kupiga makofi kila kitu atakachosema mwenyekit wako kama kipindi kile cha kikokotoo mwenyekit wenu Mara ya kwanza aliposema kikokotoo kipo saws mkashangilia alipobadili uelekeo kwa kusema hakifai mkashangilia tena sasa huo kama sio upumbavu ni nini.
Hilo dubwasha halikusema azoee jela dubwasha hilo limesema azoee jera!
 
Mnapigwa tobo bao mnashangaa
Tobo mmepigwa nyie mapoyoyo mnaolopoka mambo ya taaluma za watu bila kujua kuwa wenye taaluma wapo chonjo nenden mkasome wambien Lumumba wawasomeshe sio wanawatumia tu huku mko empty set kichwani mtajikuta mnatupwa kama condom.
 
Yale majizi yaliyoko chama cha kijani yanalindwa kwa nguvu zote labda tu yakimpinga mfalme ndio yanatishiwa kushitakiwa.

Ushetani mkubwa huu!!!
Issue hapa ni matokeo ya kesi ya akina mbowe, watanzania tunakurupuka ovyo.

Hata huyu mleta Uzi huu ni mkurupukaji, video haijawekwa wazi na haijulikani kilichomo ndani yake, Kiongozi wa upinazani ama mtu anayeona haki yake inaminywa, na haki ya kulalamika, na kuna njia kadha za kulalamika , maandamano ni moja wapo.

Hatuwezi kurekebisha kosa kwa kosa, hao wezi unaowasema mbona walipokewa na chama chako na mkawasafisha na wakurudi nyumbani kwao?
 
Kuna tetesi zimezagaa huku mtaani zinadai kuwa MBOWE na wenzake watafungwa na hiyo yote ni shinikizo kutoka Kwa magu..
Japokuwa magu ameshauriwa aachane na mpango huu haramu lakini bado emesisitiza lazima wafungwe Tu

Acha tusubiri kwanza tuone picha hii inaendaje!!
 
Kwa uzoefu na kuamini technology ni kuwa huwa haidanganyi na hiki ndicho wakili kibatala alikiogopa Jana huu ndio ukweli mkuu hapa duniani.

Ushahidi ulioletwa jana wa Jamhuri dhidi ya Mbowe kupanga kufanya so called SUICIDE PROTEST huku akihanikiza watu kubambana hata kama watu 200 watakufa damu zao ndio mbegu huku akijua kujitolea mhanga ni kinyume na sheria pia huku akijua maandamano yale hayakuwa na kibali.

Japo mahakama jana ilihailisha ushahidi huo kwa kukosa devices za kuunga hapa ant Mbowe wakae mkao wa shangwe maana jamaa jera ataizoea
Nani alikuambia kila video ni ushahidi tosha? Watu wana tempa na ushahidi wa video na kuharibu kabisa ukweli.
Kama unabisha ungemuuliza Kangi Lugola kwa nini alitamka kuwa video ya Gwajima sio ya kweli?
 
Back
Top Bottom