Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Mbunge wa Hai Mhe. Freeman Aikaeli Mbowe amejibu swali la rais John Pombe Magufuli aliyehoji matumizi ya sh 1.3 billion za mfuko wa barabara mwa mwaka 2016/2017 katika wilaya hiyo April akihutumia mkutani wa hadhara katika mji wa Bomangombe, Rais alihojimatumizi ya fedha hizo baada ya mwenyekiti wa Halmashauri ya Hai Helga Mchomvu Kumkumbusha ahadi ya Barabara.
Akiwa katika kampeni za Uchaguzi mkuu 2015 Rais Magufuli aliwaahisi wananchi wa Jimbo la Hai Barabara ya Lami yenye urefu wa kilomita tano hivyo Mchomvu akamkumbusha juu ya ahadi hiyo.
Hata hivyo Rais hakujibu moja kwa moja juu ya ombi hilo bali alihoji matumizi ya 1.3 billion za mfuko wa barabara na kuhaidi kumtuma waziri wa Tamisemi kuchunguza matumizi yake.
Lakini juzi akiwa katika harambee kuchangia ujenzi wa madarasa ya shule ya msingi kambi ya Raha, Mbowe alisema kiasi ambacho kimepokelewa na Halmashauri ni sh 300 Milioni na siyo 1.3 Bilioni.
Wakati wa ziara Rais aliuliza kiasia mbacho tumekwishapatiwa kwa jili ya ukarabati wa barabara lakini kwa bahati mbaya waliyompatia taarifa wakampatia taarifa isiyo sahihi alisema Mbowe