Wa Mjengoni
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 480
- 128
Aliomba iundwe tume ya kimahakama aikabidhi ushahidi, hivi iliundwa? ili tumlaumu
CCM ndo yenye serikali,kama mtu kasema uongo ni vyema akachukuliwa hatua,kwa nini mlalamike wakati mmeshika kwenye mpini!.
sasa hapo ulaghai uko wapi? Mbona yotyote aliyoyasema ni ukweli mtupu.
Aliomba iundwe tume ya kimahakama aikabidhi ushahidi, hivi iliundwa? ili tumlaumu
Aliomba iundwe tume ya kimahakama aikabidhi ushahidi, hivi iliundwa? ili tumlaumu
Mkuu unajisumbua bure kuwajibu watu wasiofikiriaga, yaleyale kama ya kwenye Katiba mpya sasa hivi wanapogeuza kibao eti UKAWA hawataki kuendelea na BMK, ilhali wanajua condition za kuendelea walizopewa.
Binafsi huwa sina muda wa kumsikiliza Mbowe na vibaraka wake. Huyu mtu ni mlaghai na muongo kupindukia, na bahati mbaya kuna wapuuzi wasiojua kutumia akili zao kufikiria wanamuona kama Mungu mtu asiyejua kudanganya.
[/QUOTE][Ushahidi hutolewa sehemu husika na kama munavyofikiria. Mbona tume huru ya kimahakama haijaundwa kuchunguza, ingefanyika hivyo na ushahidi ungetolewa mahakamni. Mbowe ni njembe na mtu makini sana.QUOTE=Ghosryder;10096847]Kama ilivyo ada na kawaida ya Mh Mbowe kutoa matamko ya kiulaghai na uongo kwa kudai kwamba huwa ana ushahidi wa mambo mbalimbali yanayotokea ktk mustakbali wa siasa za nchi yetu, kama alivyowahi kudai siku zilizopita, ambapo alidai ana video ya ushahidi wa Bomu la Olasiti Arusha, na pia Maswala ya Mwangosi na yale matukio ya waandishi kumwagiwa tindikali, ushahidi ambao hajawahi kuutoa kwenye vyombo vya sheria, leo kaja na mpya baada ya kudai ana ushahidi kutoka vikao vya ndani vya ccm kwamba eti hawataki kutekeleza mchakato wa katiba mpya bali wanawalaghai tu ili waingie ndani ya bunge la katiba na kisha waamue kufanya watakavyo. My take, kwa kuwa huyu mh Mbowe amekuwa ni mtu wa kudai kuwa ana ushahidi wa mambo mengi tena yeye tu, itabidi vyombo vya dola vimbane ili aisadie polisi katika mengi ambayo yanahusisha jinai ili haki ipatikane kwa wahanga.
Zama hizi sio za kuwadanganya watanzania,shudu zenu hizi zimeshawakera wananchi,imefika mahali hata kuvaa kofia na t-shirt za ccm Mtaani mnaogopa wananchi kuwashambulia basi mnaleta shudu.
Yuko mwingine alisema ana majina ya wauza unga mpaka leo hajawahi hata kutaja initials zao.Anachofanya sasa ni kero tupu! Kila siku, ana ushahidi na hautoi popote aagh!
Kwa hiyo hiki kinyesi ndicho kinakupa mlo wa siku?Kama ilivyo ada na kawaida ya Mh. Mbowe kutoa matamko ya kiulaghai na uongo kwa kudai kwamba huwa ana ushahidi wa mambo mbalimbali yanayotokea ktk mustakabali wa siasa za nchi yetu, kama alivyowahi kudai siku zilizopita, ambapo alidai ana video ya ushahidi wa Bomu la Olasiti Arusha, na pia Maswala ya Mwangosi na yale matukio ya waandishi kumwagiwa tindikali, ushahidi ambao hajawahi kuutoa kwenye vyombo vya sheria.
Leo kaja na mpya baada ya kudai ana ushahidi kutoka vikao vya ndani vya CCm kwamba eti hawataki kutekeleza mchakato wa katiba mpya bali wanawalaghai tu ili waingie ndani ya bunge la katiba na kisha waamue kufanya watakavyo.
My take: Kwa kuwa huyu mh. Mbowe amekuwa ni mtu wa kudai kuwa ana ushahidi wa mambo mengi tena yeye tu, itabidi vyombo vya dola vimbane ili aisadie polisi katika mengi ambayo yanahusisha jinai ili haki ipatikane kwa wahanga.
Mbowe ni msanii na mlaghai wa kisisa.