Bosi wenu anaomba msamaha kwa Mbowe teh teh tehkupitia gazeti la mtanzania limeripoti mh mbowe kawekewa pingamizi na mgombea mwenzake kwa kuika agizo la msajili la kutogombea awm ya tatu kwan katiba hairuhusu
source: mtanzania
Bosi wenu anaomba msamaha kwa Mbowe teh teh teh
bado jaji mutungi hajaja ns rungu lake
nyie wapambe ndio nuksi
Ma-CCM wanahangaika sana, Wanawekeza muda na fedha kutengeneza mgogoro ndani ya Chadema, kuakikisha kiboko yao Mbowe hasichaguliwe
Huyo ni mlevi wa madaraka katiba kaiweka kapuni ili aendeleze sacos yake na vijana wa bavicha wamepewa kidogo ili wampigie debe kweli akili ni nywele.
Atatumia fedha zake kununua haki but uwezo wake wa kufikiri umefikia ukomo
Atatumia fedha zake kununua haki but uwezo wake wa kufikiri umefikia ukomo