Mbowe atatikisa na kukinukisha Musoma kwa siku tatu kuanzia leo..!!

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,494
54,906
Kwa taarifa rasmi niliyoipata kutoka kwa Mbunge wa Musoma mjini Mh. Vincent Nyerere, inasema kuwa Mh. Mbowe na wabunge wengine walioambatana nae watawasili leo hii.Mh. Mbowe ataitembelea Tarime, miradi mbalimbali ya Maendeleo inayotekelezwa na CHADEMA,kufungua ofisi za Chama kwenye kata mbalimbali..Jumapili,asubuhi ataongea na madiwani wa Musoma na jioni atazungumza na wadau mbalimbali wa chama hapa Musoma..Jumatatu ndo, mkutano wenyewe utafanyika katikaViwanja vya Mukendo. mia
 
Jumatatu kuanzia saa nane mchana, Mh. Mbowe, Mh. Nyerere, Mh. Nassari, Mh. Lema na wengine wengi wataongea.."sisi hatutaongea na watoto kama walivyofanya CCM, tutaongea na watu wazima kuwaeleza mustakabali wa Taifa letu"Ewe mkazi wa Musoma na maeneo ya jirani, usikose kuhudhuria...HARAKATI ZINAENDELEA.. mia
 

Nakumbuka hata wakti wa kifo cha CHACHA WANGWE alikuwa anarukaruka South Africa na nasikia alifanya sherehe kwa kusikia kuwa taarifa ya msiba huo. Katika tukio hili la KIBANDA nasikia aliga kuwa hatakua Dar bali atakuwa HAI kuhudhuria mkutano wa baraza la Halmashauri , lakini akaonekana MOI akimpa pole bwana KIBANDA. Huyu jamaa mtata sana kama jini vile.
 

''Rising to the Top'' by Lost Boyz
''Rising to the Top'' by KRS One
 
Amekimbia kuhojiwa kuhusiana na kuvamiwa kwa Yule jamaaa
 

tatizo la vijana tumeshindwa kushikiria habari za maana na tumeamua kuwa wafuasi wa stori za vijiweni zisizo na ukweli wowote zinazotungwa na bush professa wanaodokezewa neno moja na kuja na waraka mzima. Try sometimes to be brave on critizing,interpreating,analysing and making decision as independent individual person,
 

Mumlinde sana huyu mmafia wenu, huku Mara bado damu ya CHACHA WANGWE inalia naye.

Anakuja kutambika, tangu CHACHA WANGWE afariki hajawahi kukanyaga huku kwetu

Haya ni matokeo ya kushindia "chipsi dume", lazima uweweseke mida kama hii.
 
Mumlinde sana huyu mmafia wenu, huku Mara bado damu ya CHACHA WANGWE inalia naye.

Nosense! 2 bits thinking capacity, 0.5 KB sound minded,0.6 KB Argue capacity,wonderful enough 2TB analogue mindend,poor thatha
 
Huyo thatha haifahamu Mara, amuulize Bilal nini kimetokea juzi uwanja wa Mukendo!

Kamanda Mbowe karibu hapa, tunakungoja mkuu!
 
akimaliza Musoma aje kupiga kambi Arusha mpaka ufanyike uchaguzi wa madiwani
 
i hope ataongea kuhusu kujiandikisha kwenye daftari la kupiga kura , kila la kheri makamanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…