Mbowe atashinda tena Hai 2020?

Bada mnaamini sisi wananchi ni wajinga kiasi hicho kwamba tutalikabidhi jimbo bila kukaa chini na kutathimini kabla ya uamuzi huo?

Ujinga wenu ninyi vijana ni kudhani mnayo haki ya kumfanyia maamuzi mtu, wakati ninyi mnaweza tu kumshauri rais kutimiza ahadi zake.


Mtu kuchaguliwa ni baada ya kupambanua hoja, na kujibu hitaji la wananchi ni nini atawafanyia? Na kuwaahidi atakuwa ni kiongozi wa namna gani.

Si vyema kujipa uhakika kwa jambo ambalo maamuzi yapo kwa mtu mwingine ni ujinga
 
Hatuwezi kushangaa kwani KURA tayari walishapiga wenyewe na kumkabidhi Msimamizi wa uchaguzi. Wanasubiri muda uwadie wamtangaze mshindi.
 
Kwa Mimi naona kutokuwa Mbunge itamsaidia zaidi kukijenga chama na upinzani kwa ujumla
 
Muda mwingine kuna viongozi wanatuona wapumbavu, mkuu wa wilaya hawezi wachagulia wananchi mbunge
 
Uharo mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…