Mbowe ataja sababu ya madiwani CHADEMA kuhamia CCM

Mbowe ataja sababu ya madiwani CHADEMA kuhamia CCM

acheni demokrasia ifanye yake jamani
wakitoka makka kwenda madina ni sawa, lakini the other way arround no!!
wakitoka samaria kwenda yerusalemu mnasema wameona moshi mweupe, the other way mnasema wamenunuliwa
Unafiki!! Hakuna demokrasia hapo,kuna mazungumzo na makubaliano yaliyoisha saa sita usiku.ccm & rushwaaaaa damdam
 
SIASA si kwa ajili ya wenye madaraka au matajiri. SIASA ni kwa ajili ya wanyonge na maskini ili nao waishi kama binadami. Mwanasiasa halisi huishi katika msingi huo wa siasa.

Siasa ya kuwasemea wanyonge na maskini kwa ngonjera, maandamano na hotuba zenye maneno makali dhidi ya Serikali au wawakilishi wa wananchi ni siasa maslahi.
 
Maslahi binafsi yanamuhusu yeye tu wengine no!
Yaani Mwenyekiti anakidai Chama Magari ...baba mkwe wa mwenyekiti anakodishia chama ofisi...n.k
Ila inapokuja wanachama wa kawaida kufaidi ruzuku na fursa za chama wanaambiwa wawe na wito.

Karibuni CCM wanachadema mliochoka porojo za mwenyekiti wenu.
Hili ni andiko la kimasikini mno lisilo na ushahidi wowote kutoka kwa mtu mjinga na fukara wa kutupwa !
 
wito ni kwa wengine tu ila kwake it is an investment.

Maana anauwezo wa kufanya lolote na Hakuna wa kumuuliza.

Hapo wametukanwa lakini watashangilia kauli za mwenyekiti.
 
Simple answer for tough issues ,I think its time chadema to reforms to protect their legtmacy
 
real G
Huyu diwani wa kaloleni alikosa kazi kwenye kampuni yake ya Printing alikuwa hana namna . Sana sana ametumia nafasi hii ya manunuzi angalau ajinusuru
 
Hivi serikali inaona ni raha kuendelea kurudia mauchaguzi tena kwa gharama kubwa.ni bora uhamaji ungelifanyika 2020 kuelekea uchaguzi,ni kuharibu hela zetu walipa kodi.
Kurudia chaguzi madiwani Milioni 200 x 44 =8,800,000 na bado hatuoni likifikia tamati hili janga la kujiuzulu .hizi akili zetu Tz tunazijua wenyewe .hapa tunaongelea zahanati 44 zimepotea hivyo .shame on you ccm
 
Na wafuasi wao wanashangilia
amenifurahisha kusema kuwa amejiudhuru kutokana na kufuatwa na viongozi wa ccm mara kwa mara aiseee hapo kuna mazingira ya rushwa tena saa sita usiku viongozi wa ccm walikuwa wanamshawishi
 
Haya c majibu mepesi Haya kidogo,aliejiuzulu kakuambia nimejiuzulu usiku baada ya majadiliano kufikia muafaka sasa unataka jibu gani kwa akina Mbowe??Uhamaji huuu unanukia pesa mpyaaaaa za rushwaaaa
Siasa ni ushawishi unashangaa nini kwani lowasa ,Sumaye,na akina nyalandu waliingia chadema bila kushawishiwa?
 
Wamewachoka hao,hawaishi sababu,hawana sera wanatapatapa,kila mtu ni msemaji huko!
 
Kiukweli kwa nchi ndogo kama hii Tanzania, Ambayo wananchi wake hata kupata Milo mitatu nitatizo. Inawezekana vipi madiwani wanajiudhulu .. kila siku nakurudia uchaguzi . Au madiwani wanaona sisi wananchi niwajinga.... yaani uchaguzi wa diwani mmoja unagharama zaidi ya Mil 100 sasa jiulize kodi zetu kwanini zinapotea bure . Aliyakuwa bado watu tunaishi kama digidigi. kwa kukosa Milo mitatu.
 
Back
Top Bottom