technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,647
- 58,450
Mafuriko na siyo mafuliko! Kama hata kiswahili kinakushinda, no kitu gani unakiweza sasa?Sasa hapo kuna mafuliko au?
Hata hapo ulipo tupo wengi sana! Jipangeni!Makamanda mmefikia hapa?
Unajua kusoma picha lakini au umekurupuka. Mbona zinajieleza kabisaZa mwaka gani hizo images!2015?
AshMafuriko na siyo mafuliko! Kama hata kiswahili kinakushinda, no kitu gani unakiweza sasa?
Anaweza kujikomba tuu ili apelekee unga was sembe wanae!Mafuriko na siyo mafuliko! Kama hata kiswahili kinakushinda, no kitu gani unakiweza sasa?
Kumbe za mwaka 2015 samahani sikuweza kutambua alama inayoonyesha ni za 2019!Unajua kusoma picha lakini au umekurupuka. Mbona zinajieleza kabisa
AshAnaweza kujikomba tuu ili apelekee unga was sembe wanae!
So mmeruhusu ya mikutano ya chumbani tu, tena na yenyewe bado ni kwa binde, ngoja iruhusiwe mikutano ya nje ndio urudi kuuliza hili swali lako.Sasa hapo kuna mafuliko au?