Mbowe apigilia msumari

mkuchika(waziri wa tamisemi) anasema;
serikali ya tanzania inaongoza kupeleka hela katika serikali za mitaa africa.trl3 zinapita serikali za mitaa.
baraza la madiwani ndo mlizi namba moja ya fedha za umma.
tumefungua mafunzo ya siku3 kila halmashauri tarh 15 mwezi ujayo mafunzo yanamalizikia pale korogwe waziri ataenda kuyafunga.
madiwani wa kilindi wamewakataa wafanyakazi11 na sisi tumewapelekea watu wengine. kuna watumishi 35 wakurugenzi wamefungwa wengine wamefukuzwa wengine kesi zipo mahakamani
 
Mkuchika anasema; ni jukumu la mkuu wa mkoa kusimamia mamlaka yaliyo chini yake kuhakikisha zinafanya kazi.
 
hawa ghasia anasema: serikali tumeweka mfumo mpya ili kuondoa watumishi hewa. hili toleo la tisa tunaingiza watu wanaofanya kazi. tumetoa mafunzo kwa maafisa wawili wawili na kuwapa mfumo huo. sasa hivi kazi inafanywa na watumishi sio wahazini. muweka hazina anadili na payroll. sasa hivi tuna uwezo wa kujua aliye ingiza mtumishi hewa wapi na wakati gani kwa kutumia machine gani. sasa hivi tunaendelea kuwalipa watumishi dilishani. tayari serikali za mitaa tulishalipa watumishi wote na mwezi may tunamaliza.
 
gasia anasema;
sehemu tuliyo hakiki na kupata watumishi hewa tumewapelekea takukuru wawachungunze.
 

Tatizo la Serikali yetu ni kuifanya siku ya nane nane(maonyesho ya kilimo)kuwa Kama vile ni siku ya kuabudu.Matumizi ya anasa yameizidi Serikali hii ya mamwinyi wachache
 
Tatizo la JK si washauriwake bali nikuwa hana uwezo wa kuongoza alifikiri kuwa rais wa nchi ni kustarehe na kutalii duniani.
 
Hongera Mkuu wa makamanda wa Jeshi la Umma la Ukombozi.
 

Asante Mh. Mbowe, ndiyo maana 2015 ni lazima kieleweke. Ieleweke kuwa Watanzania hata vijijini si mbumbu tena. Ingewezekana kama sheria inaruhusu mngerecord kikao cha leo ili kitumike katika kampeni za pukutisha magamba.
 
watakimbia hata nchi sasa!

Na kweli, huyo Mkulo yuko wapi kwani alitakiwa kutoa maelezo kuhusiana na masuala ya fedha ambayo yeye ni Waziri. Kakimbia kivuli chake kivulini akirudi juani nacho kinarudi
 
Pia hata wakiwa hawasaidi chochote zaidi ya kusema NDIYO!!
 
vikao vya Chama havina ratiba yake? Kipindi cha bunge, ndipo kinafanyika kikao cha chma? Hii ni hujuma ya fedha za umma, ama kweli sikio la kufa halisiki dawa!!
 
Anajisahau sana kwa kujisomea gazeti la uhuru kila siku linamdanganya.
Ujuha unaigharimu sana nchi yetu
Tatizo la JK ni washauri wake, wanamdanganya kuwa mambo ni shwali, mwisho wa siku atashuudia ccm ikimfia mikononi!!!!!
 
Guys mnazidi kunipa hacra.... Yaani, moyo ka unalipuka vile... Hawa wakuda wamezidi
 
Mimi nasubiri sahihi zikusanywe na namuomba mhe Zitto anisaidie kunipa taarifa kama mbunge wa jimbo langu la Karagwe Gozbert Blandes hatakuwa amesaini basi nitafanya kitu ambacho hataamini. Nitazunguka jimbo zima nikieleza usaliti anao ufanya kuanzia kusupport posho hadi ili na hatakuwa hatufai hata kidogo. Hukumu yake itakuwa ni wananchi kutompa kura tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…